Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Alivyokuwa anachapa kazi. Yani acha tu. Pamoja niko na watu wanasaidia, alikuwa anafanya kazi kweli. Kupika, kusafisha nyumba, kuosha magari nk. Ila nilivyoondoka tu, nikaambiwa kazi akawa hafanyi. Ndio hivyo, ilikuwa acting tu
Nisaidie kulea watoto na mm mkuu inaonekana una moyo wa imani sana jamani[emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wanaume mnasema huyo dada mbaya;nyie wanawake zenu wazuri?
Sasa hawa wanawake walojaa huku mitaani wengi wa kawaida tu wanaume zao walikufa?
Mtoa mada weka na picha yako,huenda ukawa hata mbili kimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia kubwa ya wadau wameshasema. Game over!
 
Kwasababu umempa Uhuru na ameutumia na amevuka mipaka bila woga,Tatizo la wanaume wengi mnadanganywa kwa vitu vidogo vidog sana,simama kama mwanaume,simamia maaamuz yako,na nibora umwambie akapime hospital alaf akutumie majibu utaona kama atakutafuta tena
Nina nyumba tanzania. Ya kuishi na ofisi ya kampuni. Ndio anaenda hapo kusumbua wafanyakazi mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnawapaga vyoooooteee mpaka anashindwa kusonga mbele
Kuna geti na ukuta. Lakini anakuja kuja tu hapo kuulizia kama nipo nk. Huwa anakaa kimya muda, halafu ghasia zinarudi. Ana mapepo kwa kweli. Hata hio kuja tu kwa geti sipendi. Nilishamsahau kabisa ila ni kama jini ambalo linatafuta gia mbalimbali za kuwa katika maisha yangu. Sitaki kabisa mawasiliano, kumwona, kuwasiliana naye nk. Na sasa ndio anatumia ndugu nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hii nimeipenda ya kusema anipe mtoto nimlee. Nione anafanyaje. Ila inafaa nikiwa Tz na inafaa kumshtukiza tu asipate muda wa kunichezea tena.
Siku ukija njoo kimya kimya, tena kwao nenda usiku ili umkate vizuri, lakini nawewe hata ndugu zako wameshindwa kufuatilia kama mtoto ni wake wakakujulisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wanaume mnasema huyo dada mbaya;nyie wanawake zenu wazuri?
Sasa hawa wanawake walojaa huku mitaani wengi wa kawaida tu wanaume zao walikufa?
Mtoa mada weka na picha yako,huenda ukawa hata mbili kimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wadada wa siku hizi mnaangalia pochi nene tu.
Kwa hio usiseme kana kwamba mnajali sana mwonekano wa mtu. Mnajali sana $$$ za mtu.
 
Basi na wewe itakuwa wa matopeni.
Mimi siwezi kwanini kuwa anakusingizia mtoto wakati umeweka picha zao tu,wewe umejificha.Alafu siwezi kuamini tu uliyoyasema,huenda umetunga.
Unamchafua vipi wewe mtu ambaye tayari ni mchafu mno na amejaa matope mwili mzima??? Hehehe. Usinifurahishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi na wewe itakuwa wa matopeni.
Mimi siwezi kwanini kuwa anakusingizia mtoto wakati umeweka picha zao tu,wewe umejificha.Alafu siwezi kuamini tu uliyoyasema,huenda umetunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ni aibu sana mimi kujihusisha na malaya kama yeye na asilimia kubwa ya warembo tz ni makahaba tu. Na ndio maana hawaolewi pamoja na urembo wao. Lesson learned. Amini usiamini, I dont care sababu wewe hauna umuhimu wowote katika maisha yangu
 
Basi na wewe itakuwa wa matopeni.
Mimi siwezi kwanini kuwa anakusingizia mtoto wakati umeweka picha zao tu,wewe umejificha.Alafu siwezi kuamini tu uliyoyasema,huenda umetunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakazania sana picha zangu. Weka za kwako kwanza basi, na mimi nitaweka zangu. Hehehe
 
Duh! Sio wrote brother, muhimu ni kumuomba Mungu na kucheza karata zako vizuri. Upendeleo ni ubatili Bali mwanamke amchaye Mungu ndie atakaesifiwa. Bado watu wanaojielewa wapo shida yetu hamtulii wakaka kwenye kutafuta mnakurupuka mno
Wacha Mungu wengi wao huwa kwepa wanapenda viruka njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom