Napenda sana umbea

Kwa kuongezea, wambea huwa hawadanganyi au kusema uongo hata siku moja kwani kazi ya mbea ni kufuatilia mambo ya watu ila tu kama auwi kero kwa jamii,kama huna mda na mtu sawa ila ukipita jitahid tu kusalimia afu fanya yako,sisi hatuna tatizo na wew,ukiwa kinyume mbona utahama mtaa
 
Yaani hiyo ni fursa. Acha kukaa kijiweni, saka mahela uanzishe gazeti ama radio ya udaku. Kina mama wa kwa mtogole tutakupendaje?
 
Utapewa Chai ya moto kwenye Kikombe
cha Bati halafu unywe ikiwa Moto maana
ndiyo dawa ya mtu Mmbea kama wewe.
 
Ukaanze na umbea unaowahusu ndugu zako wa karibu ndio ukiumaliza unaowahusu ndipo uje kwenye ule unawaowahusu watu wa mbali.....UMBEA UANZE NA YAKO
 
hahaha...kwaza wakati nasoma hii thread yako nimecheka sana kama vile nakuona mdomo ulivo juujuu masaa yote........pole sana kwani we jinsia gani??
unaweza kuacha ukiamua coz mambo mengine huwa tunajiendekeza tu!
 
Umbea sunna kwa wanawake...
 

Una girlfriend?..au ushawai kua nae?
 
Umbea kwa mliopita shule kama mimi kwa lugha ya kisomi ni INFORMAL COMMUNICATION OR GRAPEVINE which I can describe as kind of communication which created and controlled by people as a result of secondary network of communication,which does not follow prescribed route,pia kuna aina mbali mbali za informal communication ambayo kwangu mm ni kama umbea,ya kwanza ni SINGLE STRAND(long line of people),GOSSIP WHEEL(Hii ni pale mtu anapotoa umbea ovyo yan yeye achagui wa kumpa umbea yeyote tu twende,PROBABILITY CHAIN(inatokea randomly according to people,CLUSTER CHAIN(huyu mstaarabu yaan umbea wake anachagua wa kumwambia sio mropokaji ovyo,sasa sijui kuna mtu ambaye hafany haina hiz za umbea,na kama yupo labda atakuwa ana matatizo,binadamu bila kusemwa au kumsema mtu hujakamilika kwa namna nyingine ni changamoto za maisha pia umbea it brings psychological satisfaction,japokuwa umbea pia una hasara zake kama misunderstanding,kama unatak kuwa mbea bas uwe makin maana zako zikifika utajuta,so usivamie fani,umbea ni tofaut na RUMORS,rumor ni taarifa au habar zinazotolewa au kuzungumzwa bila kuwa na ushahid(evidence),ila kwa sisi wambea taarifa na DATA zote tunakuwa nazo
 
ndo maana huolewi!piga umbea lakin usiku utalala tu
 

Ushaangalia series ya gossip girls?
 
Mhhhh! Tulizana achana na uzushi.

 
Last edited by a moderator:
warumi mwaya na mi napenda sana umbea, yani tukikaa wote nadhani hata kula tutasahau!!!!!!!
upo wapi namie nijoin kijiwe?
 
Last edited by a moderator:
We can never be friends.. Ntafungwa bure
 
kama wewe ni wa kiume nakushauri kama hujaoa usijaribu kuoa maana ndoa yako haitadumu hata kwa wiki moja labda uowe mwanamke mwenye tabia kama yako ndio mtaishi kwa raha, kwa sababu ukimwanika mambo yake na yeye kesho anayaaniaka ya kwako hapo inakuwa ngoma droo ndio mtaishi kwa raha mustarehee lakini kama mmoja hana tabia hiyo ndoa haifiki hata wiki labda ubadilike
 
Siku zote watu wenye fikra duni(akili ndogo) kazi yao ni kujadili watu. Waone wana saikolojia au falsafa watakusaidia.
 
hivi unapomsalimia na kumuuliza maswali kuhusu life style yake si umbea? mfano mkeo hajambo? unajibiwa hajbo then anakuambia kasafiri labda unadakia kaenda wapi??? HUU SIO UMBEA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…