Napenda sana umbea

Mh!hii ni kali kuliko
Hizi ni tabia za kike nimestuka sana kusikia maneno haya yanatoka kwa mwanaume!

Au ndo wale wanaume anaowasemaga Asprin ?

kumbe mwanaume?,mamaweeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:

Sijawahi kuona wala kusikia mwanaume anakiri kuwa yeye ni mmbea. Naomba nikwambie,umbea hauna u-classic wala u-digitally...umbea ni umbea kaka. Wewe una umbea wa kiswazi tena ule wa kishambenga!! Kwanini mtaa uwaogope..?!! Mbaya zaidi mnatabia zile za saloon za 'amka tukutete',mshkaji mnacheka naee wee akiondoka tu mnachambua.. U-digitally uko wapi?? Wewe ni mmbea mshambenga tena mzandiki.. Wala hata sio sifa nzuri. Utamteta hadi mkeo wewe,utamuanika na kumdhalilisha...we wakuogopwa!!!!!!
 

Yaaani walaaa..umbea haurekebishi tabia. Tambua tofauti kati ya ku-backbite na ku-confront sawaa! Wewe unachanganya hizi maana mbilii....
 
DEMBA nimemmiss huyu kiumbe! Lol...

Nimejikuta nakomment hapa!
 
Last edited by a moderator:

Wanaume?????? Mnajisifia kwa umbea??? Umbea ni wa watoto wa kike, na wanapendeza wakiwa wambea, ila wanaume???aiseeee, nina mashaka na mifumo yenu, pia kwa nchi jirani yetu hapo juu (kwa Musix) mnaweza msikatize!
 
Kafanye kazi CIA

Umbea kwenye mission za kijasusi! au hujui maana ya umbea? wewe unafikiri ushushushu ungekuwa umbea wangeitwa secret angents/service? umbea maana yake ni kupenda kuongea mambo ya watu binafsi pasipo sababu za msingi.
 
Wanaume wote wanaopenda umbea kama alivyojieleza mleta mada wana tabia za kike na kishoga. Ni aina ya wanaume ambao huona aibu kukaa na wanaume wenzao. warumi angalia usije kuvalishwa kitenge.
 
Last edited by a moderator:
Iko kipaji kwakweli kazi ya magazeti ya udaku inakufaa
 
Hahahahaha unapenda umbea umbea teh teh kusutwa suna sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…