GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kafunguka sana na Kaeleweka mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeunga mkono hoja yake Kama angejitokeza hadharani. Sasa kwa kuwa anaongea akiwa amejificha Mimi Kyata nasema naye Ni mnafiki na mshenzi kama wewe uliyeleta Uzi huu hapa jukwaaani. Na inawezekana hiyo sauti Ni yako mwenyewe, umejirekodi na unatuletea hapa jukwaani unafiki wako. Jitu limejaa roho ya visasi, fitina na mengi mabaya. Nyuzi zako nyingi zimekaa kiumbeya umbeya na kike kike, wivu tu umekuzidi na roho mbaya yako sijui ulirithi kwa Nani. Tumekuchoka kwa kujifanya unajua hapa jf kumbe u mtupu kichwani.
Tulia mtani, dogo anakuja jangwani kutufanyia kazi na kuwakera nyie msimbazi!!mtani nicheki DM nina jambo na wewe
Yote Yataongelewa Kwasasa Lakini Huyu Morrison Kwakua Ameshaomba Radhi Na Amepokelewa Tena Atacheza Mpira Mkubwa Sana Ndani Ya Yanga Sc Muda Utasema.
Mfano wako ni sifuri haufanani kabisa, mapenzi na kazi wapi na wapiUkiwa na mke mmeishi vizuri ulimtoa kwenye umaskini mkubwa ukaja ukayaboresha maisha yake, ukamleta mjini baada ya kuwa mjanja akaanza kukutana na bwana mwingine, akanza vitimbi vya kila aina akishirikiana na huyo hawara yake kukuhujumu, Akakupeleka polisi hadi mahakamani ukafungwa. Baada ya kutumikia kifungo ukarudi mtaani kuanza maisha mapya kutoka sifuri. Yule mwanamke anapata taarifa kuwa umeanza kufanikiwa tena anarudi kukuomba msamaha na unamrudia tena. HAPO AMEKUJA KUCHOMOA ROHO YAKO
Hivi nyie Watu wa TISS kwanini mnapenda sana Kuniita PM? Halafu hatai hamjui tu kuwa huwa nawashtukieni mapema mno tu.Tulia mtani, dogo anakuja jangwani kutufanyia kazi na kuwakera nyie msimbazi!!mtani nicheki DM nina jambo na wewe
mtani acha uoga banaaaa,mm sio mtu wa TISS aisee!!mbona unanipa cheo ambacho sinaa!!usiogope mwanaume wa mara ww banaa!hawawi waoga kama wa dar!hahahahaHivi nyie Watu wa TISS kwanini mnapenda sana Kuniita PM? Halafu hatai hamjui tu kuwa huwa nawashtukieni mapema mno tu.
Naona mpo katika Mkakati wa Kunitega ili mniweke katika 18 zenu kwakuwa nimekuwa Mkosoaji Mwandamizi wa Boss Wenu Kikatiba na Kimedani ( Mama )
Jaribuni 'Strategy' nyingine mnipate.
Inawezekana anayeeongea hapo mahali alipo hata tawi la Yanga halimtambui mtaani kwake,kadi iwe ya uanachama ama ushabiki hana,kujua leo wachezaji chai wamekunywa ama cha mchana watakula nini hachangii,ila tambua hayo yote yanayofanyika hapo mwenye hela yake ndio kaamua ivyo
Hao jamaa wakikutaka hawakukosi. Melo akiendewa na plause unadhani hatakutaja ili akufie?Hivi nyie Watu wa TISS kwanini mnapenda sana Kuniita PM? Halafu hatai hamjui tu kuwa huwa nawashtukieni mapema mno tu.
Naona mpo katika Mkakati wa Kunitega ili mniweke katika 18 zenu kwakuwa nimekuwa Mkosoaji Mwandamizi wa Boss Wenu Kikatiba na Kimedani ( Mama )
Jaribuni 'Strategy' nyingine mnipate.