Napenda sana wana Yanga SC wenye 'Msimamo' na wasio 'Wanafiki' kama huyu

Ukweli mtupu, ile mechi ya Nne naikumbuka vizuri na utumbo alioufanya mle vilevile Yanga walimpa upendo mkubwa akaja kutuacha kwenye mataa wakati muhimu na kuvuruga saikolojia ya wachezaji na timu kwa ujumla..
 
Yote Yataongelewa Kwasasa Lakini Huyu Morrison Kwakua Ameshaomba Radhi Na Amepokelewa Tena Atacheza Mpira Mkubwa Sana Ndani Ya Yanga Sc Muda Utasema.
 
Kafunguka sana na Kaeleweka mno.

View attachment 2281611
Ningeunga mkono hoja yake Kama angejitokeza hadharani. Sasa kwa kuwa anaongea akiwa amejificha Mimi Kyata nasema naye Ni mnafiki na mshenzi kama wewe uliyeleta Uzi huu hapa jukwaaani. Na inawezekana hiyo sauti Ni yako mwenyewe, umejirekodi na unatuletea hapa jukwaani unafiki wako. Jitu limejaa roho ya visasi, fitina na mengi mabaya. Nyuzi zako nyingi zimekaa kiumbeya umbeya na kike kike, wivu tu umekuzidi na roho mbaya yako sijui ulirithi kwa Nani. Tumekuchoka kwa kujifanya unajua hapa jf kumbe u mtupu kichwani.
 
Yote Yataongelewa Kwasasa Lakini Huyu Morrison Kwakua Ameshaomba Radhi Na Amepokelewa Tena Atacheza Mpira Mkubwa Sana Ndani Ya Yanga Sc Muda Utasema.

Sizitaki Mbichi hizi.

Mleta mada aliandaaga vikosi vyake bora 4 na huyu huyu wanayesema mchezaji mmbaya aliingia katika kila kikosi.

Za kuambiwa changanya na zako.





Yaani walikuwa hawamuoni Morrison mbaya kipindi yuko Simba SC.

Na kwakuwa amesaini Yanga SC ndio anaonekana mbaya.


Hadi asante na shukurani alipew kwa kumshawishi AUCHO kujiunga na simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kuna mtu yeyote anamchukulia Huyu Popoma (psychopath) Gentamycine serious? Huyu jamaa ni kichaa toka kitambo!
 
Ukiwa na mke mmeishi vizuri ulimtoa kwenye umaskini mkubwa ukaja ukayaboresha maisha yake, ukamleta mjini baada ya kuwa mjanja akaanza kukutana na bwana mwingine, akanza vitimbi vya kila aina akishirikiana na huyo hawara yake kukuhujumu, Akakupeleka polisi hadi mahakamani ukafungwa. Baada ya kutumikia kifungo ukarudi mtaani kuanza maisha mapya kutoka sifuri. Yule mwanamke anapata taarifa kuwa umeanza kufanikiwa tena anarudi kukuomba msamaha na unamrudia tena. HAPO AMEKUJA KUCHOMOA ROHO YAKO
 
Mfano wako ni sifuri haufanani kabisa, mapenzi na kazi wapi na wapi
 
Tulia mtani, dogo anakuja jangwani kutufanyia kazi na kuwakera nyie msimbazi!!mtani nicheki DM nina jambo na wewe
Hivi nyie Watu wa TISS kwanini mnapenda sana Kuniita PM? Halafu hatai hamjui tu kuwa huwa nawashtukieni mapema mno tu.

Naona mpo katika Mkakati wa Kunitega ili mniweke katika 18 zenu kwakuwa nimekuwa Mkosoaji Mwandamizi wa Boss Wenu Kikatiba na Kimedani ( Mama )

Jaribuni 'Strategy' nyingine mnipate.
 
mtani acha uoga banaaaa,mm sio mtu wa TISS aisee!!mbona unanipa cheo ambacho sinaa!!usiogope mwanaume wa mara ww banaa!hawawi waoga kama wa dar!hahahaha
 
Kafunguka sana na Kaeleweka mno.

View attachment 2281611
Inawezekana anayeeongea hapo mahali alipo hata tawi la Yanga halimtambui mtaani kwake,kadi iwe ya uanachama ama ushabiki hana,kujua leo wachezaji chai wamekunywa ama cha mchana watakula nini hachangii,ila tambua hayo yote yanayofanyika hapo mwenye hela yake ndio kaamua ivyo
 
Siku ile tumefungwa na simba goli NNE simba walinunua mechi Morrison alipewa hela sasa hivi mnashangilua Morrison karudi baada ya kuhitimu university of football
 
Hao jamaa wakikutaka hawakukosi. Melo akiendewa na plause unadhani hatakutaja ili akufie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…