Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

MA-MDOGO= Penny mwanangu
MONEY PENNY=Nambie ma mdogo,mzima wewe
MA-MDOGO=Mi mzima yani hapa kila kiungo kinauma,sijui kama nitatembea.
MONEY PENNY=Kwanini
MA-MDOGO=Unamkumbuka yule kijana Idd Ninga ?
MONEY PENNY=Yule nilokutafutia kule Uganda siku ya harusi ?
MA-MDOGO=Huyo huyo,hivi ulimjuaje kama yupo vizuri vile
MONEY PENNY= (anacheka cheka tu)
MA-MDOGO=Yani hapa mi nilipo nasikia kama moto unawaka.
MONEY PENNY=Nilikwambia lakini ma mdogo
MA--MDOGO=Najuta kumfahamu yule muuza mkaa.
ITAENDELEA SEHEMU YA KUMI NA TISA.
 
Hahahaha, Acha maneno weka mziki
 
Hivi hako kagoli kamoja mnakokazungumziaga huwa ni ka namna gani?? kama vile vya sungura au??
 
Unataka wanaume wadogo na pesa huna kwako afate nn hata uzur huna

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Yes! Money Penny, in Bond's voice
Kumbe unaongelea ndoto
Ndio maana nakataa money penny hakuwahi kuliwa zile zilikuwa ndoto tu
We mkali umemaliza movies za James Bond. Kuna nyingine inakuja "NO TIME TO DIE" anaendelea mkali Daniel Craig.
 
Yes! Money Penny, in Bond's voice We mkali umemaliza movies za James Bond. Kuna nyingine inakuja "NO TIME TO DIE" anaendelea mkali Daniel Craig.
Bongo sijui wanaionyesha lini
Nimesubiriiiia lakini sijakuona
Hio ndio movie pekee sijaiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…