chifusongea
Senior Member
- Jan 8, 2016
- 164
- 154
Mwonekano wako ukoje Mkuu?Uko sawa kulingana na matakwa yako mkuu
Uko sawa kiongozi.... ndio maana kwenye swala kuoa, nita enda kugonga hodi kwenye familia za kiarabu!! Na nnaamini mpango wangu utatiki tu....Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri,kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.
Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika,vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.Nawakilisha.
Ha haa usije mie kizee miaka70Mwonekano wako ukoje Mkuu?
Nataka kuja kukuchumbia mie.
ha ha ha ha aiseeUko sawa kiongozi.... ndio maana kwenye swala kuoa, nita enda kugonga hodi kwenye familia za kiarabu!! Na nnaamini mpango wangu utatiki tu....
Naona umefurahiii madame... ndio hiko hivyo napenda sana mabinti wa kislamu wanavyojistiri hususani waarabu japo kuna wengine ni vimeo..ha ha ha ha aisee
Nakuunga mkono, uvaaji huu inabidi uwe sheria.ningependa Magufuli na serikali yake waaende muongozo ya mavazi ya kiaamaadili.Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.
Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.
Nawakilisha.
mabinti kujisitir sio kwa waarabu tu dear hii ni lazima kujisitir kwa mwanamke wa kiislamu na ni wajibu ajistiri na ukiona mwanamke wa kiislam hajisitiri faham mawili either dini anaijua ameamua kua mpuuzaji tu au haelew chochote kuhusiana na dini yake.Naona umefurahiii madame... ndio hiko hivyo napenda sana mabinti wa kislamu wanavyojistiri hususani waarabu japo kuna wengine ni vimeo..
kujisitiri pekee haitoshi kumuona kama mtu ndo mke afaaye bwanaMwanamke mvaahasara anafaa tu kwa usiku mmoja mke mwenye staha ya uvaaji huyo ndiye aolewe tunaelewana?hivi mnaandika lakini?
Wewe wasema kilichoko nje kinaelezea kilichofichwa ndani huwezi ukaniambia mwanamke amevaa kipwinto alafu akawa na tabia njema tafakarikujisitiri pekee haitoshi kumuona kama mtu ndo mke afaaye bwana
sijakataaWewe wasema kilichoko nje kinaelezea kilichofichwa ndani huwezi ukaniambia mwanamke amevaa kipwinto alafu akawa na tabia njema tafakari
Kweli kabisaa swala la kujistiri mwili ni la maana sana kwa mwisalamu. Nimewahi kuishi na waislamu(waswahili) kipindi kirefu tu mji mmoja na nimewahi kuwa na best friends ambao ni waarabu na kuwa nao karibu muda mrefu tu.... LAKINI TU NIKWAMBIE HIVI KWENYE SWALA LA MAVAZI KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA SHOMALI NA ABDALLAH...KUNA TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA SHAJANI NA AISHA. YAANI KUNA HAO WENGINE UTAMUONA ANAVAA VIZURI SIKU YA IJUMAA TU MIDA YA SWALA IKIFIKA JIONI YUKO KWENYE PEDO KAMA KAWAIDA. Ndio maana ukaona kma nimespecify hivii hapo mwanzonimabinti kujisitir sio kwa waarabu tu dear hii ni lazima kujisitir kwa mwanamke wa kiislamu na ni wajibu ajistiri na ukiona mwanamke wa kiislam hajisitiri faham mawili either dini anaijua ameamua kua mpuuzaji tu au haelew chochote kuhusiana na dini yake.