Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.

Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.

Nawakilisha.
Chifusongea lazima una matatizo !. Nitajie mwanamme mmoja tu ambaye hapendi vimini?. Maneno muchigudi!
 
Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.

Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.

Nawakilisha.
Napenda wavaa vimini.. Ila miguu iwe ya ukweli.

Napenda wavaa madera.. Ila Tako liwe la ukweli
 
mabinti kujisitir sio kwa waarabu tu dear hii ni lazima kujisitir kwa mwanamke wa kiislamu na ni wajibu ajistiri na ukiona mwanamke wa kiislam hajisitiri faham mawili either dini anaijua ameamua kua mpuuzaji tu au haelew chochote kuhusiana na dini yake.
Kumbe ni kuhusu dini?
 
but my dear,
hata mie nimenotice jambo, kwenye uvaaji.
I am a christian lady, uvaaji hijab sio desturi yetu, ila toka nimeanza kuvaa madera, na magauni marefu najiona kama nimekuwa huru mno na pia naheshimika zaid kuliko nikivaa suruali. so nilikuja deduce kwamba nguo/vazi bado linabak kuwa ni kigezo cha kwanza cha kumdefine mtu leave alone utu wa ndani ambao huo hauwez kuumeasure kwa first mwonekano wa kwanza
Exactly mom
 
Sio ushamba ila kuna wengi wenye mtizamo kama wako na wale wanaojua thamani ya mwanamke nikujistiri
mambo mazuri lazima uyafiche lol.... Mkuu kuna rafiki yetu kazini mkristo kuna siku tulienda kula lunch nae akaona binti amevaa Baibui akasema sijui kwanini lakini napenda sana mtu anapovaa amejistiri,nikamuliza why unasema hivyo na wewe dini yenu inaruhusu kuvaa nguo fupi kasema yes inaruhusiwa kuvaa lakini sio mavazi wanayo vaa sikuizi mtu mpaka
wewe ulokua nae unaona AIBU kwa nguo alovaa yeye......
mkuu nikusahihishe kidogo siyo kweli kwamba dini ya kikristo inaruhusu mwanamke kuvaa nguo fupi hayo yalikuwa mawazo yako na yeye na pia siyo kweli mpaka mwanamke avae ijabu ndo amejisitiri mfano akivaa gauni likapita hadi magoti kuna ubaya gani

napenda sana mwanamke anayesitiri mwili wake
 
Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.

Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.

Nawakilisha.
Hata mimi hiyo hali ilikua inanipata sana wakati nikiwa bado mshamba!!
 
Mwanamke mvaahasara anafaa tu kwa usiku mmoja mke mwenye staha ya uvaaji huyo ndiye aolewe tunaelewana?hivi mnaandika lakini?
nimesikia ila sina daftari na kalamu, una mkwara ww hahahaha......
 
Back
Top Bottom