Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,747
siku hizi hata mabibi wanaolewa, maelewano tuSasa ataniwekaje mie bibi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku hizi hata mabibi wanaolewa, maelewano tuSasa ataniwekaje mie bibi yake
Aah wee!siku hizi hata mabibi wanaolewa, maelewano tu
mie nilikua sijui kama hata kanisani hawataki....uvae nguo fupi..mkuu nikusahihishe kidogo siyo kweli kwamba dini ya kikristo inaruhusu mwanamke kuvaa nguo fupi hayo yalikuwa mawazo yako na yeye na pia siyo kweli mpaka mwanamke avae ijabu ndo amejisitiri mfano akivaa gauni likapita hadi magoti kuna ubaya gani
napenda sana mwanamke anayesitiri mwili wake
jifrahishemie nilikua sijui kama hata kanisani hawataki....uvae nguo fupi..
Nimecheka kwa sauti...ndugu yangu hapa anataka kujua kilichonichekesha nimemyeyusha...maana na yeye ni mshamba...kwi kwi kwi...nimeogopa nikimjibu ntazua mjadala maana na yeye ni mlengo huo huo wa washamba...Hata mimi hiyo hali ilikua inanipata sana wakati nikiwa bado mshamba!!
Tuko pamoja mkuu! Hao wa makwapa nje sijui mikucha mirefu,minyele ya bandia sijawahi wala haitotoke kula kununua ndizi mivu iliomenywa kasa. Yaani wala siwaoni kama ni wanawake.Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.
Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.
Nawakilisha.
Upo sahihi mkuuEeh jamani tunaenda na wakati.....muhimu jua vazi gani unatakiwa kuvaa wapi na wakati gani.......
Mimi pia mkuu,namuona mrembo sana kuliko mvaa vimini na hiyo imekuja mpaka nimeoa binti wa kiislam ingawa mm ni christianNajua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.
Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.
Nawakilisha.
Lakini hiyo avatar aiendani na maandishi yako...Mimi pia mkuu,namuona mrembo sana kuliko mvaa vimini na hiyo imekuja mpaka nimeoa binti wa kiislam ingawa mm ni christian
umepata four ya ngapi?Hata mimi hiyo hali ilikua inanipata sana wakati nikiwa bado mshamba!!
Watu wanajiongelesha tu hapa...wakiona kimini mimacho inawatoka kama si 'kutapika'i love to dress up to kill, yaani walking like a peacock and steal men's attention,