Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mabinti kujisitir sio kwa waarabu tu dear hii ni lazima kujisitir kwa mwanamke wa kiislamu na ni wajibu ajistiri na ukiona mwanamke wa kiislam hajisitiri faham mawili either dini anaijua ameamua kua mpuuzaji tu au haelew chochote kuhusiana na dini yake.
Hao unawaona wanaingia Guest huku wamejistri ni hao wanaotembea bila kujistri,ila ikifika kwenda Guest au sehemu ovu anajistri asijuikane.Ili wasifiwe wasiojistri.Hivi unaweza kuwa na ujasiri wa kumsimamisha na kuanza kumtongoza mwanamke aliyevalia ninja??..
Hao wanaowatamanisha kwa kuacha mapaja wazi si ndio mnaowasimamisha na kuwashibokea mara kwa mara au?
..HIJABU NI VAZI AMBALO SIO KAMA UNAVYOLICHUKULIA
KWANZA LINAMKINGA MWANAMKE DHIDI YA MACHO YA WANAUME WAKWARE... TATU LINAMFANYA ANAKUWA HURU KUTEMBEA BILA KUJISHTUKIA SHTUKIA YAANI KUOGOPA KUZOMEWA AU USUMBUFU WOWOTE ULE.
Karibu Tanga uone wanawake wanaingizwa guest kumegwa uku wamejisitiri,
Kama mgeni waweza shangaa, lakini siyee Watanga twaona kawaida atiiii,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sawa shem acha nizisubirie hzo mamboBasi ushakuwa SHEM !!! ( sasa ntaanza kukuandama na kukufunza vya Umangani )[emoji14][emoji14][emoji14]
Lazima nikuheshimu sana .. maana kimila Shem hupewa nafasi ktk ukoo !!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sawa shem acha nizisubirie hzo mambo
Ni kweli kabisa japokuwa mavazi huonyesha matendo yako, ni kama vike ukute pipi mbili zimeanguka njiani moja imefunikwa na karatasi lake moja imevuka , automatically utaiokota ile ambayo iko na ganda lake kwa kuamini iko salama zaidiukweli ni kwamba hayo ni maono au matakwa yako.... japo siku hizi mambo yamebadilika sana unaweza kuniona navaa ushungi 24/7 kumbe ni mchafu wa matendo kupindukia sifai afadhali yule avaae hizo nguo zisizojistiri ila lile vazi limenifanya kuonekana ni mwema na maovu yangu yamejificha nyuma yake.
hijab isn't just what you are wearing but its also what you do and say. its who you are
Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.
Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.
Nawakilisha.
hizo hijab kwa upande mwingine ni noma sana.wee acha tu
Oooh,nashukuru shemLazima nikuheshimu sana .. maana kimila Shem hupewa nafasi ktk ukoo !!!
Naona umefurahiii madame... ndio hiko hivyo napenda sana mabinti wa kislamu wanavyojistiri hususani waarabu japo kuna wengine ni vimeo..
hatuvai kumpendeza mtu ila ni kwa kujifurahisha wenyewe tu.Busara za baba.
Msichana alinunua simu smartphone ambayo ni ghali mno. Baba yake alipoiona alimuuliza "Binti yangu uliponunua hiyo simu yako ya gharama cha kwanza kufanya kilikua ni nini?"
"Niliweka screen protector kuzuia michubuko ya kioo na nikanunua cover kwa ajili ya kuzuia ikianguka isichubuke" binti alijibu.
"kuna mtu alikusukuma kufanya hivyo?" baba alimuuliza bintie
"Hapana" binti alijibu
"Unafikiri huko si kuwatukana waliotengeneza simu kwamba hawakukamilisha kazi yao? Baba aliendelea kuuliza.
"Hapana baba" ni kwamba hata wanaotengeneza wanawakumbusha watu kuweka cover katika simu zao kuzuia kuharibika kwa urahisi"
"Je uliiwekea cover kwa vile simu ni bei rahisi na inamuonekano mbaya?" Baba aliendelea kusaili
"ukweli nimeiwekea cover sitaki iharibike mapema na ipoteze uthamani wake" binti aliendelea kumjibu baba yake.
"ulipoiwekea cover, imepunguza uzuri wa simu yako?"
"Hapana baba nafikiri ndio imeonekana nzuri zaidi tofauti na mwanzo, na imeipa simu yangu ulinzi ili isiharibike"
Baba akamwangalia binti yake kwa upendo na akamwambia, " Je kama nikikuomba ukave mwili wako ambao unathamani kubwa kuliko hata hiyo simu yako kwa nguo ndefu zisizo onyesha maungo yako kwa watu hovyo hovyo utafanya hivyo?"
Binti alibaki kimya!
Uvaaji wa nguo fupi na zisizo na staha ambazo zinaweka wazi maungo yenu obvious zinapunguza thamani yenu na heshima kwa jamii. Watakaokutamani ni wanaume wakware tu wale wahuni wahuni! Ila mwanaume mwenye heshima zake hawezi akavutiwa nawe kwake atakuona kama msichana fulani wa kileo unayefaa kwa usiku mmoja tu na sio kwa maisha.
Hata mie navutiwa sana na mwanamke mwenye kusitirika vizuri ki mavazi, huwa anaonekana kuwa na mvuto.
........ unajifurahisha kwa kubana matako !hatuvai kumpendeza mtu ila ni kwa kujifurahisha wenyewe tu.
sure it makes me feel more comfortable.. yaani najisikia mwepesiii........ unajifurahisha kwa kubana matako !
View attachment 325596
sure it makes me feel more comfortable.. yaani najisikia mwepesiii
Hilo wala halihitaji utafiti mkuu ukiona wengi wana vimini ujue ndio mahitaji ya soko kwa sasa