Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Mimi bila kuona upaja na le supa mtindiz sijavutiwa na wewe
 
Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.

Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.

Nawakilisha.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya faraja na nyegge!
Wanaume wengi tunapenda MICHEPUKO YETU IWE HIVYO, na michepuko ndo iko hivyo, ila mama mpendwa mwenye nyumba ajisetiri.
 
Back
Top Bottom