Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Kwakweli mimi nikiona mwanamke kavaa hijab nachanganyikiwa
Nawapenda sana wanawake wa sampuli hii!
 
hspa nimevaa umini wangu hatari, nipo ubungo naona macho juu wanavyonitolea macho,
Hivyo basi ndio una enjoy sana attention sio??... yaani uko confident enough kusema etii wananitolea macho sababu ya uvaaji wa nusu uchi wako!!?... kweli mwalimu wenu hanaga macho
 
Hivyo basi ndio una enjoy sana attention sio??... yaani uko confident enough kusema etii wananitolea macho sababu ya uvaaji wa nusu uchi wako!!?... kweli mwalimu wenu hanaga macho
hahaaaaaahaaaaahaaaaa.
 
Kwakweli mimi nikiona mwanamke kavaa hijab nachanganyikiwa
Nawapenda sana wanawake wa sampuli hii!
Hijabu !.JPG

UJUMBE HUO euphoria
 
mi hata sijielewi! sometimes napenda wenye vi skinny jeans na heleni tatu tatu na sometimes napenda waliojisitiri. demu wa kiislamu mrefu mwembamba akipita na marashi yake hua nahisi kizunguzungu.
 
umepata four ya ngapi?
Unadhani watu wote wamepitia shule za sekondari, hayo mambo yenu ya divission au Classes ni kwa nyie mliomaliza shule za msingi mkaendelea mbele zaidi, maana hii lugha imekaa kimatokeo ya mitiahani
 
Mipafyumu sio tatizo hakuna kitu kinachochoa mapenzi Zaidi kwa mwenza kunukia vizuri, kunukia vizuri ni ishara ya kujijali zai...Pafyum iondoe.
tatizo wanawake mnamitazamo tofauti na watu mnao tegemea kuwapata sisi tunawambia watu wakuingia katika ndoa hawatakiwi kuwa na hayo madudu nyie mna lazimisha! sisi tunazungunzia kuusu mtu kuwa MKE sio DEMU kunatofauti apo! siwezi nikajiribua kwa mtu wa ovyo ovyo!
 
CHIEF umekaa sana SONGEA,upo sahihi kuishi kiujima,mjini hayo mambo hayakwepeki,mbn wenzio tumezoea na tunaona kawaida,zoea tu maisha yaendelee..
 
Ningekuwa mwanaume ningeoa mwanamke angalau mwenye roho nzuri (hapa roho nzuri sijui niielezee vipi) ila itoshe tu kujulikana hivyo. Mtu ambaye ataweza kukaa na ndugu zangu, wazazi wangu, watoto wa kambo kama itatokea.
Haya ya mavazi sijui tabia tungejua jinsi ya kurekebishana.
Hakuna kitu naogopa duniani kama mwanamke mwenyewe roho mbaya ya ajabu.
Utu! Utu! Utu! Sijui ningewezaje kumjua mwenye Utu. Lakini Nafikiri ndicho kingekuwa kigezo cha kwanza katika uchaguzi wa mwenza.
 
but my dear,
hata mie nimenotice jambo, kwenye uvaaji.
I am a christian lady, uvaaji hijab sio desturi yetu, ila toka nimeanza kuvaa madera, na magauni marefu najiona kama nimekuwa huru mno na pia naheshimika zaid kuliko nikivaa suruali. so nilikuja deduce kwamba nguo/vazi bado linabak kuwa ni kigezo cha kwanza cha kumdefine mtu leave alone utu wa ndani ambao huo hauwez kuumeasure kwa first mwonekano wa kwanza
....Sasa hivi ukipita Makanisani kuna mabango ya 'dress code' yamewekwa ! na ukienda kinyume, hutahudhuria shughuli za ibada. 'Management reserve the right of admission'
 
Back
Top Bottom