Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

hata mimi hivyo hivyo unaisi kutapika fulani ivi!viwigi,vimini,visuluali mieleni,mivipodozi,mipafyumu,milangi mdomoni na kwenye macho! ni shiiiiiiidddddddddddddaaaa! mke anaye faa hafai kuwa na hayo makolokolo! mke mwema yupo natural! sio kuforce maisha!
Mipafyumu sio tatizo hakuna kitu kinachochoa mapenzi Zaidi kwa mwenza kunukia vizuri, kunukia vizuri ni ishara ya kujijali zai...Pafyum iondoe.
 
Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri,kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.
Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika,vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.Nawakilisha.
Sio ushamba ila kuna wengi wenye mtizamo kama wako na wale wanaojua thamani ya mwanamke nikujistiri
mambo mazuri lazima uyafiche lol.... Mkuu kuna rafiki yetu kazini mkristo kuna siku tulienda kula lunch nae akaona binti amevaa Baibui akasema sijui kwanini lakini napenda sana mtu anapovaa amejistiri,nikamuliza why unasema hivyo na wewe dini yenu inaruhusu kuvaa nguo fupi kasema yes inaruhusiwa kuvaa lakini sio mavazi wanayo vaa sikuizi mtu mpaka
wewe ulokua nae unaona AIBU kwa nguo alovaa yeye......
 
Kweli wewe unaishi enzi za ujima, mwanamke kujipamba bhna wewe vipi??
Unataka mwanamke aliyepauka, mwanamke hadi harara usoni, mwanamke kavaa minguo kama magunia na mashuka??

Unataka mwanamke asiyenukia?? Bali wa uvundo??

Tafakarini vizuri aisee
 
kujisitiri pekee haitoshi kumuona kama mtu ndo mke afaaye bwana
but my dear,
hata mie nimenotice jambo, kwenye uvaaji.
I am a christian lady, uvaaji hijab sio desturi yetu, ila toka nimeanza kuvaa madera, na magauni marefu najiona kama nimekuwa huru mno na pia naheshimika zaid kuliko nikivaa suruali. so nilikuja deduce kwamba nguo/vazi bado linabak kuwa ni kigezo cha kwanza cha kumdefine mtu leave alone utu wa ndani ambao huo hauwez kuumeasure kwa first mwonekano wa kwanza
 
Hahahaaaaah kumbe ndio maana mke wangu havai suruali anahisi akivaa hata kuwa huru, yeye zake magauni na dira basi
 
Hii sio kwa wanawake na mabinti tu,mavazi huashiria tabia halisi ya muhusika japo sio kwa 100%
hata watoto wa kiume wengi hawajui kuvaa kabisa,mtu anatembea mtaani suruali iko kwenye makalio hiyo boxer sasa ndani chafu balaa,juu kavaa kinguo cha kushindia home anakatiza mtaani
kwenye suala la mavazi bado sana tuko nyuma mno
 
Uko sawa kiongozi.... ndio maana kwenye swala kuoa, nita enda kugonga hodi kwenye familia za kiarabu!! Na nnaamini mpango wangu utatiki tu....
Ni wazo jema mkuu ila ujue tigo yake atakua hajakuhifadhia mpk sasa hivi, iko kwenye matumizi
 
Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.

Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.

Nawakilisha.

Mimi pia huwa navutiwa sana na mabinti wenye kuvaa mavazi ya stara. Mwili/maumbile ya mwanamke yana thamani kubwa sana kwa wanaume sio kuyaacha waziwazi au kuyaonyesha namna MUNGU alivyowaumba kwa kila mtu. Hivo, wanaojisitiri wanapendeza na humfanya mwanaume wake afarijike na upekee wa kuyaona maungo ya mwanamke wake.
 
ni hiviii


wale wa kutembea uchi ni wa fahari ya macho....
halafu waliojistiri ndo waweza kuwa mke, mama, dada... ambaye popote waweza kuongozana naye


mi sijuagi km mwanamume timamu atapenda kuongozana na mupenzi wake akiwa robotatu ya mwili wake uko uchi uchi

hapa naongelea wanaume si wavulana wa shule za kata wala wasanii wa bongo flava/movie...yaani upite njiani kila mtu anawashangaa na bidada anakazana kushusa kitop na kikapula loh aibu sana japo kuna majamaa wanaonaga siiifa sana
 
hizo hijab kwa upande mwingine ni noma sana.wee acha tu
Hivi unaweza kuwa na ujasiri wa kumsimamisha na kuanza kumtongoza mwanamke aliyevalia ninja??..

Hao wanaowatamanisha kwa kuacha mapaja wazi si ndio mnaowasimamisha na kuwashibokea mara kwa mara au?

..HIJABU NI VAZI AMBALO SIO KAMA UNAVYOLICHUKULIA
KWANZA LINAMKINGA MWANAMKE DHIDI YA MACHO YA WANAUME WAKWARE... TATU LINAMFANYA ANAKUWA HURU KUTEMBEA BILA KUJISHTUKIA SHTUKIA YAANI KUOGOPA KUZOMEWA AU USUMBUFU WOWOTE ULE.
 
Inayo bana,sa mi na uzee huu utanipeleka wapi
IMG-20160206-WA0003.jpg



hahahaha
 
Najua wengine watasema naishi enzi za ujima lakini kiukweli nikimwona binti kajisitiri nguo iliyofunika mwili vizuri, kichwani ana mtandio au kilemba huwa najihisi faraja kubwa sana moyoni.

Shida nikiona wale wa visuruali vya kuchanika, vimini na mawigi ya kichina huwa najihisi kutapika.
Sasa sijui ni ushamba wangu au kuna wanaume wengine hali kama hii huwakuta.

Nawakilisha.
hao ni wakusafishia macho tu barabarani ila kuweka ndani hawafai kabisa,yaani hawajui tofauti kati ya bara bara ni chumbani sasa si hatari hiyo!
 
Tatizo kwa wenye wigi nilikua sijui wanavoteseka nayo kichwani!mkienda kulala lazima alitoe ,sasa utashangaa sura anayobaki mayo unaweza kukimbia!kwanza kichwani kuna kuna twende kilioni imeshachoka anazikuna mpaka zinatoa vumbi sura inafubaa kabiisa siyo yule alikuwa akionekana kama Beyonce vile,acheni hizo bw....
 
Ni wazo jema mkuu ila ujue tigo yake atakua hajakuhifadhia mpk sasa hivi, iko kwenye matumizi
Hilo swala la tigo ni kitu kingine na mimi hapo niliongelea swala lingine kabisa... hakuna coincidance yoyote kati ya hivyo viwili
 
Back
Top Bottom