Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

Kabeji

Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
13
Reaction score
87
Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu.

0713776534
 
Mrembo.. tupia hata vipicha vyako viwili vitatu hapa. Wadau watakuona haraka sana.
 
Unatokea wapi?

Umri wako?

Ulishawahi fanya modeling?

Maritual status yako(maana hii pia ita determine kama unaweza fanya kazi popote au la)
 
Back
Top Bottom