Napendekeza barabara ya Morogoro ikikamilika ipewe jina la Hayati Magufuli

Pale Chalinze ukipita kuna ka halmashauri kamedizainiwa acha mjomba....rip JPM
 
Ikipendeza ule mkoa mpya uitwe Magufuli ila siyo barabara
 
Tuachie Barabara ya Morogoro ndugu, mbona mnataka kutuchanganya?
Kwani Barabara za Chato hazitoshi kuitwa kwa majina yake?
Apewe Barabara zote za Chato
 
Kweli, labda apatiwe hizo Barabara mpya.
 
Sasa nasema hivi mtake msitake kwa Heshima ya Hayati JPM kwa kazi aliyo ifanya kwa kuubadilisha Mkoa wa DSM Barabara hiyo itaitwa BARABARA YA MAGUFULI na sio Morogoro road.
wenye kukereka wapitie njia nyingine lkn lazima mtakanyaga tu Magufuli road,
Hivi aliyeijenga hiyo Barabara mbona hakuwa mbinafsi na kuipa jina lake mpaka nyie mje mtusumbue kwa maintenance nyie watu?
Mnaboa kwakweli
 
😏
 
Kuna umuhimu tuwaige wenzetu taifa la U.S.A ,kitu kikipewa jina la kiongozi hawarudii kukipa kitu kingine jina hilo,mfano hapa stendi ya mabasi ya mikoani iliyopo Mbezi luisi Dar imepewa jina la Magufuli hakuna umuhimu wowote wa kuendelea kutumia jina hilo kwenye vitu vingine,makosa ambayo yameishafanywa kwenye jina la Mkapa yasirudiwe,shule Mkapa,daraja Mkapa,uwanja Mkapa, hii unaonyesha kuwa tunawaabudu wanasiasa wakati ambapo mchango wao ni mdogo Sana katika jamii,ifike wakati hata wale wanaochangia ulipaji kodi kuwa asilimia kubwa mfano Mr. Mo wapewe vitu vya heshima ,au madaktari bingwa nguli kama Dr.Sarungi na wengineo itapendeza majina yao yakipewa vitu vya kumbukumbu,wanasiasa hawastahili hata vichwa vyao kuwa kwenye noti na sarafu.
 
Sasa nasema hivi mtake msitake kwa Heshima ya Hayati JPM kwa kazi aliyo ifanya kwa kuubadilisha Mkoa wa DSM Barabara hiyo itaitwa BARABARA YA MAGUFULI na sio Morogoro road.
wenye kukereka wapitie njia nyingine lkn lazima mtakanyaga tu Magufuli road,
Hata makalio ya mamaako yaite hilo jina ruksa
 
Yeye kaburi lake ndio tutaweka jina lake kila upande wa kaburi,na nje tutaweka bonge la bango kua kaburi la jibril
 
sisi ni watanzania na wao ni wamarekani kamwe hatuwezi kuwa kama wao, labda wao ndio wanapaswa kutuiga kama wanataka.
Stendi ya Magufuli ipo along Morogoro road ambayo ndio tunapendekeza iitwe Magufuli road na hapo itakuwa imeunganishwa na barabara hiyo.
Hayati Magufuli alileta mabadiliko makubwa sana ktk sekta ya miundombinu haswa ktk mkoa wa DSM.
 
Ni wazo zuri lakini kuna taa nyingi za barabarani zimebaki uchafu zina miaka haziwaki, na baadhi zina miaka miwili tangu ziwekwe
 
Toeni usenge wenu uko,
Kama mnampenda sana nendeni kwenye kaburi lake
 
Ni wazo zuri lakini kuna taa nyingi za barabarani zimebaki uchafu zina miaka haziwaki, na baadhi zina miaka miwili tangu ziwekwe
safari hii tutaenda kujifunza kwa jirani zetu jinsi ya kutunza taa za barabarani, maaana wao wamepiga hatua.
lkn sidhani kama tutashindwa
 
safari hii tutaenda kujifunza kwa jirani zetu jinsi ya kutunza taa za barabarani, maaana wao wamepiga hatua.
lkn sidhani kama tutashindwa
Tuna shida moja, tunanunua vifaa hafifu kwa ya bei chini tunapata 10%, vinakaa muda mfupi, ili tununue tena kwaajili ya kupata 10%
 
Kwanini isipewe jina lako au wewe unajihisi ni MFUGO HUKUFANYA LOLOTE AU HUTAFANYA LOLOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…