Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikipendeza ule mkoa mpya uitwe Magufuli ila siyo barabaraSasa iitwe hiyo ya njia 8 tu au yote hadi Morogoro?
Ila dah, kubadili jina kongwe kama Morogoro Road sidhani kama ni sawa mkuu. Atafutiwe barabara nyingine mpya iitwe kwa jina lake. Kuna ile moja inaanzia karibu na Kibaha inakuja kutokea pale Vikawe (Baobab sekondari) ni mpya ile mi nashauri apewe ile 🤷♂️🤷♂️🤷♂️
toa sababu kwa nn sio barabara?Ikipendeza ule mkoa mpya uitwe Magufuli ila siyo barabara
Tuachie Barabara ya Morogoro ndugu, mbona mnataka kutuchanganya?Ili kuenzi Jitihada za Hayati Magufuli katika upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mwisho hadi maeneo ya Kibaha kwa njia 8, endapo ujenzi wa barabara hiyo utakamilika napendekeza kwa heshima na kwa kuzingatia jitihada kubwa aliyoifanya Hayati Magufuli basi barabara hiyo iitwe Magufuli badala ya Morogoro road.
Lakini pia ili kuboresha na kupendezesha mji nashauri barabara hiyo iwekewe taa za barabarani isiachwe gizani kwa kufanya hivyo itabadilisha mandhari ya Jiji.
Nashauri pia ni vyema Waziri wa Ujenzi, Waziri wa TAMISEMI na Mkuu wa mkoa wa DSM wafuatilie mradi huo kwa karibu na kutatua changamoto mapema kuliko kusubiria.
Nawasilisha.
Kweli, labda apatiwe hizo Barabara mpya.Sasa iitwe hiyo ya njia 8 tu au yote hadi Morogoro?
Ila dah, kubadili jina kongwe kama Morogoro Road sidhani kama ni sawa mkuu. Atafutiwe barabara nyingine mpya iitwe kwa jina lake. Kuna ile moja inaanzia karibu na Kibaha inakuja kutokea pale Vikawe (Baobab sekondari) ni mpya ile mi nashauri apewe ile [emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Hivi aliyeijenga hiyo Barabara mbona hakuwa mbinafsi na kuipa jina lake mpaka nyie mje mtusumbue kwa maintenance nyie watu?Sasa nasema hivi mtake msitake kwa Heshima ya Hayati JPM kwa kazi aliyo ifanya kwa kuubadilisha Mkoa wa DSM Barabara hiyo itaitwa BARABARA YA MAGUFULI na sio Morogoro road.
wenye kukereka wapitie njia nyingine lkn lazima mtakanyaga tu Magufuli road,
😏Ili kuenzi Jitihada za Hayati Magufuli katika upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mwisho hadi maeneo ya Kibaha kwa njia 8, endapo ujenzi wa barabara hiyo utakamilika napendekeza kwa heshima na kwa kuzingatia jitihada kubwa aliyoifanya Hayati Magufuli basi barabara hiyo iitwe Magufuli badala ya Morogoro road.
Lakini pia ili kuboresha na kupendezesha mji nashauri barabara hiyo iwekewe taa za barabarani isiachwe gizani kwa kufanya hivyo itabadilisha mandhari ya Jiji.
Nashauri pia ni vyema Waziri wa Ujenzi, Waziri wa TAMISEMI na Mkuu wa mkoa wa DSM wafuatilie mradi huo kwa karibu na kutatua changamoto mapema kuliko kusubiria.
Nawasilisha.
Kuna umuhimu tuwaige wenzetu taifa la U.S.A ,kitu kikipewa jina la kiongozi hawarudii kukipa kitu kingine jina hilo,mfano hapa stendi ya mabasi ya mikoani iliyopo Mbezi luisi Dar imepewa jina la Magufuli hakuna umuhimu wowote wa kuendelea kutumia jina hilo kwenye vitu vingine,makosa ambayo yameishafanywa kwenye jina la Mkapa yasirudiwe,shule Mkapa,daraja Mkapa,uwanja Mkapa, hii unaonyesha kuwa tunawaabudu wanasiasa wakati ambapo mchango wao ni mdogo Sana katika jamii,ifike wakati hata wale wanaochangia ulipaji kodi kuwa asilimia kubwa mfano Mr. Mo wapewe vitu vya heshima ,au madaktari bingwa nguli kama Dr.Sarungi na wengineo itapendeza majina yao yakipewa vitu vya kumbukumbu,wanasiasa hawastahili hata vichwa vyao kuwa kwenye noti na sarafu.Sasa iitwe hiyo ya njia 8 tu au yote hadi Morogoro?
Ila dah, kubadili jina kongwe kama Morogoro Road sidhani kama ni sawa mkuu. Atafutiwe barabara nyingine mpya iitwe kwa jina lake. Kuna ile moja inaanzia karibu na Kibaha inakuja kutokea pale Vikawe (Baobab sekondari) ni mpya ile mi nashauri apewe ile 🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Hata makalio ya mamaako yaite hilo jina ruksaSasa nasema hivi mtake msitake kwa Heshima ya Hayati JPM kwa kazi aliyo ifanya kwa kuubadilisha Mkoa wa DSM Barabara hiyo itaitwa BARABARA YA MAGUFULI na sio Morogoro road.
wenye kukereka wapitie njia nyingine lkn lazima mtakanyaga tu Magufuli road,
Hata mfanyaje kafa!!!!!Mabadiko yatafanyika kwa Morogoro road yote, kwa maana inapo anzia mpaka inapo ishia, hiyo ndio itakuwa Magufuli road.
Yeye kaburi lake ndio tutaweka jina lake kila upande wa kaburi,na nje tutaweka bonge la bango kua kaburi la jibrilIli kuenzi Jitihada za Hayati Magufuli katika upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mwisho hadi maeneo ya Kibaha kwa njia 8, endapo ujenzi wa barabara hiyo utakamilika napendekeza kwa heshima na kwa kuzingatia jitihada kubwa aliyoifanya Hayati Magufuli basi barabara hiyo iitwe Magufuli badala ya Morogoro road.
Lakini pia ili kuboresha na kupendezesha mji nashauri barabara hiyo iwekewe taa za barabarani isiachwe gizani kwa kufanya hivyo itabadilisha mandhari ya Jiji.
Nashauri pia ni vyema Waziri wa Ujenzi, Waziri wa TAMISEMI na Mkuu wa mkoa wa DSM wafuatilie mradi huo kwa karibu na kutatua changamoto mapema kuliko kusubiria.
Nawasilisha.
sisi ni watanzania na wao ni wamarekani kamwe hatuwezi kuwa kama wao, labda wao ndio wanapaswa kutuiga kama wanataka.Kuna umuhimu tuwaige wenzetu taifa la U.S.A ,kitu kikipewa jina la kiongozi hawarudii kukipa kitu kingine jina hilo,mfano hapa stendi ya mabasi ya mikoani iliyopo Mbezi luisi Dar imepewa jina la Magufuli hakuna umuhimu wowote wa kuendelea kutumia jina hilo kwenye vitu vingine,makosa ambayo yameishafanywa kwenye jina la Mkapa yasirudiwe,shule Mkapa,daraja Mkapa,uwanja Mkapa, hii unaonyesha kuwa tunawaabudu wanasiasa wakati ambapo mchango wao ni mdogo Sana katika jamii,ifike wakati hata wale wanaochangia ulipaji kodi kuwa asilimia kubwa mfano Mr. Mo wapewe vitu vya heshima ,au madaktari bingwa nguli kama Dr.Sarungi na wengineo itapendeza majina yao yakipewa vitu vya kumbukumbu,wanasiasa hawastahili hata vichwa vyao kuwa kwenye noti na sarafu.
Ni wazo zuri lakini kuna taa nyingi za barabarani zimebaki uchafu zina miaka haziwaki, na baadhi zina miaka miwili tangu ziwekweLakini pia ili kuboresha na kupendezesha mji nashauri barabara hiyo iwekewe taa za barabarani isiachwe gizani kwa kufanya hivyo itabadilisha mandhari ya Jiji.
Nashauri pia ni vyema Waziri wa Ujenzi, Waziri wa TAMISEMI na Mkuu wa mkoa wa DSM wafuatilie mradi huo kwa karibu na kutatua changamoto mapema kuliko kusubiria.
Toeni usenge wenu uko,Ili kuenzi Jitihada za Hayati Magufuli katika upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mwisho hadi maeneo ya Kibaha kwa njia 8, endapo ujenzi wa barabara hiyo utakamilika napendekeza kwa heshima na kwa kuzingatia jitihada kubwa aliyoifanya Hayati Magufuli basi barabara hiyo iitwe Magufuli badala ya Morogoro road.
Lakini pia ili kuboresha na kupendezesha mji nashauri barabara hiyo iwekewe taa za barabarani isiachwe gizani kwa kufanya hivyo itabadilisha mandhari ya Jiji.
Nashauri pia ni vyema Waziri wa Ujenzi, Waziri wa TAMISEMI na Mkuu wa mkoa wa DSM wafuatilie mradi huo kwa karibu na kutatua changamoto mapema kuliko kusubiria.
Nawasilisha.
safari hii tutaenda kujifunza kwa jirani zetu jinsi ya kutunza taa za barabarani, maaana wao wamepiga hatua.Ni wazo zuri lakini kuna taa nyingi za barabarani zimebaki uchafu zina miaka haziwaki, na baadhi zina miaka miwili tangu ziwekwe
Mwenyewe kanichefua balaa mpaka nimeshindwa kumnyandua demu nyege zimekataYaani kuna watu wanapenda sana kuboa watu kama huyu mleta mada.
Tuna shida moja, tunanunua vifaa hafifu kwa ya bei chini tunapata 10%, vinakaa muda mfupi, ili tununue tena kwaajili ya kupata 10%safari hii tutaenda kujifunza kwa jirani zetu jinsi ya kutunza taa za barabarani, maaana wao wamepiga hatua.
lkn sidhani kama tutashindwa