Eneo kama kariakoo, ilitarajiwa suti nyeusi wawepo kwa Kila namna, wawepo kama wamiliki wa maduka, kama watendaji wa mitaa na Kata, wauza kahawa, machinga, wawe ndani ya mchezo na mbele ya matukio yanayopangwa, na kama inabidi, waendeshe udukuzi wa kiuchumi wa mawasiliano ya kingpins wote wa...