FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Achen uongo wameliset wapiUstake ncheke kwa kejeli !! Wenzako walishaliseti siku nyingi, muda si mrefu utasikia serikali moja ya dunia, dini moja, uchumi mmoja sarafu moja, rais mmoja, na mabara yatagawanywa mfano wa majimbo.
Hivi ni muungano kati ya Tanzania na Zanzibar au Tanganyika na Zanzibar?Muungano wa Tanzania na Zanzibar tu unatuendesha sembuse dunia nzima? 😁😁😁
Yani mmeungana na visiwa vyenye watu laki na nusu ila migogoro haiishi. Then mnataka kuwaongeza na wasomalia.Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.
Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
Nimecheka🤣🤣🤣Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.
Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
Huo huo mkuu!Hivi ni muungano kati ya Tanzania na Zanzibar au Tanganyika na Zanzibar?