FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
Lazima tufike kwenye umoja wa kweli..Ndo dunia inako elekea hii fyeka fyeka inayoendelea ndo utekelezaji wake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima tufike kwenye umoja wa kweli..Ndo dunia inako elekea hii fyeka fyeka inayoendelea ndo utekelezaji wake...
Source : Kijiwe Cha Kahawa Kwa Mtogole.Ustake ncheke kwa kejeli !! Wenzako walishaliseti siku nyingi, muda si mrefu utasikia serikali moja ya dunia, dini moja, uchumi mmoja sarafu moja, rais mmoja, na mabara yatagawanywa mfano wa majimbo.
Huko ndipo tulipotoka, ila sipo tunapoelekea, umoja wa kweli hauepukiki..
Umoja wa kweli ndio hitimisho la ‘ultimate civilisation. Dunia moja, nchi moja.Source : Kijiwe Cha Kahawa Kwa Mtogole.
Mnataka kuchafua jamii za watu zilizostaarabika.Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.
Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
Nadharia ya dini hiiUstake ncheke kwa kejeli !! Wenzako walishaliseti siku nyingi, muda si mrefu utasikia serikali moja ya dunia, dini moja, uchumi mmoja sarafu moja, rais mmoja, na mabara yatagawanywa mfano wa majimbo.
Patakuwa ‘Ultimate civilisation’, not chaosChaos
Na mafisadi ya CCM sasa itakuwaje? yataporaje mali za umma?Ustake ncheke kwa kejeli !! Wenzako walishaliseti siku nyingi, muda si mrefu utasikia serikali moja ya dunia, dini moja, uchumi mmoja sarafu moja, rais mmoja, na mabara yatagawanywa mfano wa majimbo.
Jamii civilised itategemea uzalishaji zaidi kutengeneza utajiri, sio wizi..Na mafisadi ya CCM sasa itakuwaje? yataporaje mali za umma?
Kwa nini unataka iwe hivyo?Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.
Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
Kama hujavuta bangi basi usije ukavuta. Manake hujavuta tu upo hivi ukivuta je?Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.
Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
Wewe kama nani unapendekeza? Watu wajinga kama Makolo uwaruhusu kwenda nchi yoyote bure bure si itakuwa shida sana, au wavaa kobazi.Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.
Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..