Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
Kama hakufa kufo Cha kawaida,Marafiki zangu kutoka West Africa namaanisha Nigeria, Ghana na Ivory Coast wanaamini JPM hakufa natural death, kuna watu walihusika kumuua mheshimiwa.
Naomba tume huru iundwe kuchunguza hili suala.
JF. Where we dare to talk!
Nakazia kabsa jamanHiyo tume ichunguze na walio mpelekea moto lissu au nasema uwongo ndugu zangu
Wanasemaji hao marafiki zako,walikutembelea Tanzania,au ulikuwa au bado uko west Africa.Uzalendo ni kuipenda nchi yako na taifa lako kuwa wa kwanza kulinda na kulipenda taifa lako.Marafiki zangu kutoka West Africa namaanisha Nigeria, Ghana na Ivory Coast wanaamini JPM hakufa natural death, kuna watu walihusika kumuua mheshimiwa.
Naomba tume huru iundwe kuchunguza hili suala.
JF. Where we dare to talk!
Ni kweli tulikubaliana ila praise team si bado tupo hatujakufaJamani...si tulikubaliana mtu akifa na lake halipo?
Nahisi kwenye izi laptop zilizo chukuliwa tutapata majibuKwanini upendekezi iundwe tume kuchunguza waliompiga risasi mbunge lisu.
Muuaji kakamatwaYule bwana amekufa kwa kukiuka makubaliano yake na shetani
Wauaji tayar wako nyuma ya nondoKuna ile video moja ya Nigeria jamaa kajenga hoja za kumkubali hayati halafu mwisho kasema kwa mafundi juu ya kifo chake.
Wanasema inverted commas.
Kumbe serikal ililitambua lile jambo na kulifanyia uchunguzi kimia kimia mpaka Gaid alie husika kupatikana lazima awataje we
Pia waulize, washachunguza alienpiga risasi LISSU??! Halafu uniambie wamesemajeKumbe serikal ililitambua lile jambo na kulifanyia uchunguzi kimia kimia mpaka Gaid alie husika kupatikana lazima awataje wenzake
Peleka ushahidi.Usikae nao utaibwa.Wauaji tayar wako nyuma ya nondo