Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Marafiki zangu kutoka West Africa namaanisha Nigeria, Ghana na Ivory Coast wanaamini JPM hakufa natural death, kuna watu walihusika kumuua mheshimiwa.

Naomba tume huru iundwe kuchunguza hili suala.

JF. Where we dare to talk!
 
Kama hakufa kufo Cha kawaida,
Kina GWAJIMA wanasemaje kuhusu kumfufua?
 
Hiyo tume ichunguze na walio mpelekea moto lissu au nasema uwongo ndugu zangu
 
Ngwajima na kakobe wanakwama wapi
Kumfufua??
 
Kuna ile video moja ya Nigeria jamaa kajenga hoja za kumkubali hayati halafu mwisho kasema kwa mafundi juu ya kifo chake.

Wanasema inverted commas.
 
Marafiki zangu kutoka West Africa namaanisha Nigeria, Ghana na Ivory Coast wanaamini JPM hakufa natural death, kuna watu walihusika kumuua mheshimiwa.

Naomba tume huru iundwe kuchunguza hili suala.

JF. Where we dare to talk!
Wanasemaji hao marafiki zako,walikutembelea Tanzania,au ulikuwa au bado uko west Africa.Uzalendo ni kuipenda nchi yako na taifa lako kuwa wa kwanza kulinda na kulipenda taifa lako.
 
All in all
Karma is above all.

Kama ambavyo mlisherehekea maumivu yao! Kilio kikawa chao

Basi vivo hivyo pambaneni na maumivu yenu! Na kilio kiwe chenu!

Kwa maana walipovunjwa miguu ninyi mlisherehekea

Walipo nyolewa vipara ninyi mlisuka na kuwadhihaki

Walipofungwa gerezani, mliimba na kumsifu mtesi wao

Walipochinjwa na kuvunjwa viungo vyao kwenu ilikuwa furaha za wazi na majisifu

Kwa kuwa wao hawakuwa binadamu ila wanyama

Wengine wakaenda mbali hata wakamuita mungu!.

Dear brothers mlipotea njia!

********* Karma*********

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe serikal ililitambua lile jambo na kulifanyia uchunguzi kimia kimia mpaka Gaid alie husika kupatikana lazima awataje wenzake
 
Back
Top Bottom