Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Kwani MAGUFULI ALIUNDA TUME YA LISU KUPIGWA RISASI?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Na wale wa kwenye mifuko ya sandarusi baharini vipi.
 
Rais Magufuli aliuawa ilo wenyewe wanalijua na hakuna tume ambayo itaundwa kufanya uo uchunguzi ata siku moja labda apatikane Rais ambae anaamini kwenye ujamaa na mpenda Africa kweli lakini hawa wa MaNGo always huwa ni mabepari.
Shetani aliuwawa eti
 
Nimekwambia taja majina ya watu kumi waliouwawa na kupotea kipindi cha JPM
Naona unakuja na porojo tu,
Ooh Ben, Azory, viroba. Acheni unafki! Mnakaririshwa uongo nanyi mnauhubiri km kasuku!
 
Nyie watu mnakuwa km mataahira wakati mwingine.
Dr Ulimboka aliteswa utawala upi? Dr Slaa na mkewa walipigwa utawala upi?
Lipumba alivunjwa mkono utawala upi?
Mabomu orasit Arusha utawala upi?
Muandishi wa habari Iringa aliyefumuliwa na bomu utumbo wote nje utawala upi?
Watu waliopigwa risasi nakuuwawa mbona ni wengi awamu ya nne kuliko ya tano?
Ni raia wangapi na Askari waliuwawa kwa kisingizio cha ugaidi awamu ya NNE?
Hata km hamkumpenda JPM lakini msimbebeshe uongo kiasi hicho. Najua waathirika wengi wa JPM ni vyeti feki, wauza ngada, Mafisadi, wababaishaji maofisini, wakwepa kodi, wabinafsi wasiotaka kuona RAIA wa chini nae akila mema ya nchi, wakina unanijua Mimi nani?
MAGUFULI WAS A HERO! hata kifo chake nchi ilitikisika RAIA wanyonge walipoteza tumaini lao wengine walikufa nae uwanja wa Taifa zaidi ya 45.
Tukaona RAIA wakivunja vizuizi vya uwanja wa ndege kwani hawakuamini km ni kweli mtetezi wao kaondoka. Kwa ujumla nchi ilizizima!
Ukitaka kujua nguvu ya JPM subiri uchaguzi wa 2025 , watakaopita kiulaini ni wale watakaosema " nitafanya km MAGUFULI!"
 
Magufuli aliuwawa au alijifia mwenyewe hilo kwa sasa halituhusu sana, linalotuhusu ni kuwa amekufa, akazikwa na ameoza.

Mambo mengine huenda Pole Pole, Bashiru au Paramagamba wanajua na ipo siku watatueleza kama alikufa kwa ugonjwa wa moyo, Covid au kitu kingine. Na je alikufa lini hasa na alifia wapi?
 
Wana nchi walipotaka kujua afya yake, waliambiwa wametumwa na mabeberu ,wengine walijibu ilivyo wapendeza wao
 
Akili yako iko nyuma kwa chini ya kiuno
 
Yani wewe umenivunia nbavu kwakicheko,waanze na Alfons Mawazo aliyekatwa mapanga mchana kweupe
 
Mbona aliyepigwa risasi 30 hauleti mada ya kuchunguza shambulio hilo au aliyeshambuliwa risasi 30 hana roho nafsi ya maumivu?
 
Ujinga wa kuamini kuwa kila kifo hutengenezwa na wanadamu,tatizo la imani za kishirikina,Magufuri alikufa kwa upumbavu wake kwa sababu aliamini kuwa yeye ni Mungu muumba watu na mwenye hatimiliki ya maisha,Mungu hapendi watu wanyanyasaji.
 
Wa
Wakishajua alizimwa ndo wafanyaje sasa? Wamfufue kwa Gwajima?
 
Wakati anapewa Tuzo ya kukishinda Kirusi cha SarsCovid alikuwa anajifikiria yeye nani?

Wacheni asonge ili Samia atawale raha mustarehe.
 
Uko tayari kusikia habari za ngwengwe SUGU ya miaka zaidi ya 20?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…