Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Kwani MAGUFULI ALIUNDA TUME YA LISU KUPIGWA RISASI?
 
Wananchi kuichagua ccm 2025 ni ndoto hadi waelezwevmpendwa wao JPM ni nini kilimpata hadi mauti ikamkuta kwa haraka kuliko.
Hata mkulima hafi ghafla kama yaliyompata JPM.
Ni nini kauli ya familia kuhusu kifo hicho?
Dr Bashiru Ally Kakurwa aliyekuwa katibu mkuu kiongozi atoe tamko au taarifa ya kifo cha Rais kwanini ameamua kupiga kimya?
Kwanini Dr Bashiru aliondolewa ikulu ndani ya wiki nne baada ya kifo cha Rais?
Kwanini JPM alilazwa hospital ya jakaya kikwete ili hali walikuwa sio watu waliokuwa katibu kiutendaji ?
Kwanini walioteuliwa na JPM sasa wamegeuza ile miradi waliyokuwa wameanzisha kuwa sio kipaumbele?
Ni nini hatima ya wanyonge kwenye awamu ya sita ?
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Na wale wa kwenye mifuko ya sandarusi baharini vipi.
 
Rais Magufuli aliuawa ilo wenyewe wanalijua na hakuna tume ambayo itaundwa kufanya uo uchunguzi ata siku moja labda apatikane Rais ambae anaamini kwenye ujamaa na mpenda Africa kweli lakini hawa wa MaNGo always huwa ni mabepari.
Shetani aliuwawa eti
 
Nimesema waliopotea na kupigwa na marisasi mchana kweupe katika utawala wake , Sasa itakua KAZI ya tume kuchunguza Kama alikua anausika au la, kwani mh Tundu lissu acharangwa na marisasi katika kipindi Cha utawala upo?

Maiti zilizokua zinakutwa kwenye ufukwe wa bahari ni katika kipindi Cha utawala upo?

Ben Sasa nane, mr Gwanda, wako wapi wametoweka katika kipindi Cha utawala upi , KWa iyo Kama tume inaundwa isiishie chunguza kifo chake tu ,ichungunze yote KWa ujumla
Nimekwambia taja majina ya watu kumi waliouwawa na kupotea kipindi cha JPM
Naona unakuja na porojo tu,
Ooh Ben, Azory, viroba. Acheni unafki! Mnakaririshwa uongo nanyi mnauhubiri km kasuku!
 
Nimesema waliopotea na kupigwa na marisasi mchana kweupe katika utawala wake , Sasa itakua KAZI ya tume kuchunguza Kama alikua anausika au la, kwani mh Tundu lissu acharangwa na marisasi katika kipindi Cha utawala upo?

Maiti zilizokua zinakutwa kwenye ufukwe wa bahari ni katika kipindi Cha utawala upo?

Ben Sasa nane, mr Gwanda, wako wapi wametoweka katika kipindi Cha utawala upi , KWa iyo Kama tume inaundwa isiishie chunguza kifo chake tu ,ichungunze yote KWa ujumla
Nyie watu mnakuwa km mataahira wakati mwingine.
Dr Ulimboka aliteswa utawala upi? Dr Slaa na mkewa walipigwa utawala upi?
Lipumba alivunjwa mkono utawala upi?
Mabomu orasit Arusha utawala upi?
Muandishi wa habari Iringa aliyefumuliwa na bomu utumbo wote nje utawala upi?
Watu waliopigwa risasi nakuuwawa mbona ni wengi awamu ya nne kuliko ya tano?
Ni raia wangapi na Askari waliuwawa kwa kisingizio cha ugaidi awamu ya NNE?
Hata km hamkumpenda JPM lakini msimbebeshe uongo kiasi hicho. Najua waathirika wengi wa JPM ni vyeti feki, wauza ngada, Mafisadi, wababaishaji maofisini, wakwepa kodi, wabinafsi wasiotaka kuona RAIA wa chini nae akila mema ya nchi, wakina unanijua Mimi nani?
MAGUFULI WAS A HERO! hata kifo chake nchi ilitikisika RAIA wanyonge walipoteza tumaini lao wengine walikufa nae uwanja wa Taifa zaidi ya 45.
Tukaona RAIA wakivunja vizuizi vya uwanja wa ndege kwani hawakuamini km ni kweli mtetezi wao kaondoka. Kwa ujumla nchi ilizizima!
Ukitaka kujua nguvu ya JPM subiri uchaguzi wa 2025 , watakaopita kiulaini ni wale watakaosema " nitafanya km MAGUFULI!"
 
Magufuli aliuwawa au alijifia mwenyewe hilo kwa sasa halituhusu sana, linalotuhusu ni kuwa amekufa, akazikwa na ameoza.

Mambo mengine huenda Pole Pole, Bashiru au Paramagamba wanajua na ipo siku watatueleza kama alikufa kwa ugonjwa wa moyo, Covid au kitu kingine. Na je alikufa lini hasa na alifia wapi?
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Wana nchi walipotaka kujua afya yake, waliambiwa wametumwa na mabeberu ,wengine walijibu ilivyo wapendeza wao
 
Kifo Cha mwendazake liwe funzo kwa wengine kwamba ukiwa dikteta mpumbavu na mjinga zawadi yako Ni hiyo.Baada ya mwenyekwenda kuondoka wajuzi mtueleze Ni kiongozi gani wa nchi ,chama na serikali anayeshiriki sturi ya bwana kwani huko ndiko Safari ya mzee ilihitimishwa .
Akili yako iko nyuma kwa chini ya kiuno
 
Yani wewe umenivunia nbavu kwakicheko,waanze na Alfons Mawazo aliyekatwa mapanga mchana kweupe
 
Mbona aliyepigwa risasi 30 hauleti mada ya kuchunguza shambulio hilo au aliyeshambuliwa risasi 30 hana roho nafsi ya maumivu?
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Ujinga wa kuamini kuwa kila kifo hutengenezwa na wanadamu,tatizo la imani za kishirikina,Magufuri alikufa kwa upumbavu wake kwa sababu aliamini kuwa yeye ni Mungu muumba watu na mwenye hatimiliki ya maisha,Mungu hapendi watu wanyanyasaji.
 
Wa
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Wakishajua alizimwa ndo wafanyaje sasa? Wamfufue kwa Gwajima?
 
Wakati anapewa Tuzo ya kukishinda Kirusi cha SarsCovid alikuwa anajifikiria yeye nani?

Wacheni asonge ili Samia atawale raha mustarehe.
 
Uko tayari kusikia habari za ngwengwe SUGU ya miaka zaidi ya 20?
 
Back
Top Bottom