Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli


Wakati CHADEMA wanalilia uchunguzi wa kushambuliwa kwa Lissu walidharaulika sembuse Magufuli?.
 
Mkuu katiba inagap linaloweza kusababisha ulichokiongea.
Na wahuni walitumia hiyo gap
 
TETESI: Kanda ya ziwa inaandaa maandamano ya amani ya kuomba kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza kifo cha JaPM
 
Kifaa cha moyo kinachosemekana alikuwa amewekewa JPM, kiliwekwa lini, kiliwekewa hospitali gani na kiliwekwa na Dr yupi?

Je mke wake au familia yake inazungumzia vipi hicho kifaa?

Mbunge wa chato , ndugu na jamaa wa karibu na JPM wanafahamu kuwa alikuwa amewekewa hicho kifaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…