Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 300
- 350
Umeona hao tu kuna wenyeviti wa ccm waliuliwa mkuranga na kibiti,kuna padri aliuliwa Zanzibar,kuna Dr Olimboka aliong'olewa meno na kucha,kuna mzee Mtikila wanasisa mkongwe,Kuna Chacha Wangwe wote hawa nao ni watanzania lazima uchunguzi ufanyika baaada ya kujua uchunguzi wa mzee Magufuri unasemaje.Kabla ya huo uchunguzi ,tuanze na uchunguzi wa:-
1. Kuuwawa kwa Ben saanane
2.Kuuwawa kwa Azory Gwanda
3.Kuuwawa kwa Kanguye
4.Kuuwawa kwa Rujwabe
5.Kupigwa Lissu Risasi.
Mimi napendekeza tuanze na Ben Saanane,hatimaye Lissu ,halafu yeye awe wa mwisho kabisa.Kwani yeye aliua wangapi? Tuanze kwanza kuchunguza wanasiasa waliokufa vifo vyenye utata kipindi akiwa Rais kwanza ndio tuende kwake
Au hao wengine hawana maana sababu hawakua marais? Binadamu wote ni sawa
Umenena mkuu!Mimi napendekeza tuanze na Ben Saanane,hatimaye Lissu ,halafu yeye awe wa mwisho kabisa.
Kama Magufuli engekuwa kafa kifo cha kawaida tusingefichwa kuumwa kwake hadi kuzidiwa na kufariki.Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.
Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.
Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
Tuchunguze kwanza kisha ndo tumpelekee marehemu majibu ya uchunguzi.kama vipi meza dawa ya kunguni ufe ukachukue ushahidi toka kwake uje nao!
Naunga mkono hoja yako ila tuanze kwanza na uchunguzi wa waliompiga risasi LissuKwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.
Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.
Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
Dunia ya leo sio ya kutisha wananchi.Hao kanda ya ziwa wakiamua hakuna wa kulizima sema wameamua kupotezea tu.Wajaribu waone.....Wataapigwa kipigo cha nguruwe pori
Hao ni kina nani katika nchi hii ya raia 60m? Mwisho mtasema kila kibaka anayechomwa moto mtaani kifo kichunguzwe. Mleta mada anamuongelea aliyekua Rais wa nchi, raia namba moja.Kabla ya huo uchunguzi ,tuanze na uchunguzi wa:-
1. Kuuwawa kwa Ben saanane
2.Kuuwawa kwa Azory Gwanda
3.Kuuwawa kwa Kanguye
4.Kuuwawa kwa Rujwabe
5.Kupigwa Lissu Risasi.
Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.
Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.
Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
Hao ni kina nani katika nchi hii ya raia 60m? Mwisho mtasema kila kibaka anayechomwa moto mtaani kifo kichunguzwe. Mleta mada anamuongelea aliyekua Rais wa nchi, raia namba moja.
Acha kutetea dictator, wewe kwa nafsi yako unaamini kabisa alishinda kihalali uchaguzi, uzuzu huu wa middle class ndio unachelewesha mabadiliko chanya nchi hii, wanawake wa Iran ambao ni middle class wanaongoza kudai haki zao kwa jasho la damu, na tena umenikumbusha ule mzigo wa coal niutume tena kwenye ile addressHao ni kina nani katika nchi hii ya raia 60m? Mwisho mtasema kila kibaka anayechomwa moto mtaani kifo kichunguzwe. Mleta mada anamuongelea aliyekua Rais wa nchi, raia namba moja.
Mkuu ile ilikuwa sio ajali ya kawaida kwani?kuna mzee Mtikila wanasisa mkongwe
No ile haikua ajali, they just kill himMkuu ile ilikuwa sio ajali ya kawaida kwani?
Binadamu wote ni sawa mkuu ,hakuna raia namba moja wala namba mwisho.Hao ni kina nani katika nchi hii ya raia 60m? Mwisho mtasema kila kibaka anayechomwa moto mtaani kifo kichunguzwe. Mleta mada anamuongelea aliyekua Rais wa nchi, raia namba moja.
Nop..ilipangwa vyema kabisaMkuu ile ilikuwa sio ajali ya kawaida kwani?