Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Kabla ya huo uchunguzi ,tuanze na uchunguzi wa:-

1. Kuuwawa kwa Ben saanane
2.Kuuwawa kwa Azory Gwanda
3.Kuuwawa kwa Kanguye
4.Kuuwawa kwa Rujwabe
5.Kupigwa Lissu Risasi.
Umeona hao tu kuna wenyeviti wa ccm waliuliwa mkuranga na kibiti,kuna padri aliuliwa Zanzibar,kuna Dr Olimboka aliong'olewa meno na kucha,kuna mzee Mtikila wanasisa mkongwe,Kuna Chacha Wangwe wote hawa nao ni watanzania lazima uchunguzi ufanyika baaada ya kujua uchunguzi wa mzee Magufuri unasemaje.
 
Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.

Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.

Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
Kama Magufuli engekuwa kafa kifo cha kawaida tusingefichwa kuumwa kwake hadi kuzidiwa na kufariki.

Serikali isijichunguze pekee bali kuwepo na wachunguzi huru watakaoshirikishwa kuweka ukweli bayana
 
Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.

Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.

Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
Naunga mkono hoja yako ila tuanze kwanza na uchunguzi wa waliompiga risasi Lissu
 
Katiba mpya inayotokana na mawazo ya wananchi ikipatikana ndiyo itakuwa tiba kwa hili taifa.
 
Kabla ya huo uchunguzi ,tuanze na uchunguzi wa:-

1. Kuuwawa kwa Ben saanane
2.Kuuwawa kwa Azory Gwanda
3.Kuuwawa kwa Kanguye
4.Kuuwawa kwa Rujwabe
5.Kupigwa Lissu Risasi.
Hao ni kina nani katika nchi hii ya raia 60m? Mwisho mtasema kila kibaka anayechomwa moto mtaani kifo kichunguzwe. Mleta mada anamuongelea aliyekua Rais wa nchi, raia namba moja.
 
Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.

Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.

Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.

Magufuli hakuwa muumini wa uchaguzi wa vifo au madhila ya wapinzani wake, sasa unataka watu wachunguze kifo chake ili iweje? Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga fullstop.
 
Hao ni kina nani katika nchi hii ya raia 60m? Mwisho mtasema kila kibaka anayechomwa moto mtaani kifo kichunguzwe. Mleta mada anamuongelea aliyekua Rais wa nchi, raia namba moja.

Hakuwa rais kwa ridhaa ya wananchi bali kwa kunajisi uchaguzi. Sasa nani atachunguza kifo cha rais aliyekuwa madarakani kwa njia sisizo halali?
 
Hao ni kina nani katika nchi hii ya raia 60m? Mwisho mtasema kila kibaka anayechomwa moto mtaani kifo kichunguzwe. Mleta mada anamuongelea aliyekua Rais wa nchi, raia namba moja.
Acha kutetea dictator, wewe kwa nafsi yako unaamini kabisa alishinda kihalali uchaguzi, uzuzu huu wa middle class ndio unachelewesha mabadiliko chanya nchi hii, wanawake wa Iran ambao ni middle class wanaongoza kudai haki zao kwa jasho la damu, na tena umenikumbusha ule mzigo wa coal niutume tena kwenye ile address
 
Hao ni kina nani katika nchi hii ya raia 60m? Mwisho mtasema kila kibaka anayechomwa moto mtaani kifo kichunguzwe. Mleta mada anamuongelea aliyekua Rais wa nchi, raia namba moja.
Binadamu wote ni sawa mkuu ,hakuna raia namba moja wala namba mwisho.

Hata wezi wanaochomwa moto kuna ripoti(Uchunguzi) polisi wanaandika kutokana na kifo chake.

"Natoa heshima sawa kwa profesa na taahira" - Prof Jay - Hii ni Tathmini
 
Back
Top Bottom