Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Mungu hachezewi
sasa hivi kama naona wale wote wanaotajwa kuhusika wala hawana furaha ukiangalia kwa jicho la rohoni unagundua kabisa kuna kitu

siku zao zaja na zitatisha damu ya mtu haijawahi kwenda bure
 
Wapigie simu hawa watu wawili 0715132277 seleman au 0552627771 Athumani ndiyo wenye siri nyingi za Nchi hii ongea nao vizuri watakupa taarifa vizuri au hata jinsi ya kupata ukweli
 
Ushauri wa hovyo sana. Kwani kama kuna watu waliohusika unadhani ni walio kinyume na serikali. Unadhani sasa wameisha?

Mnapenda kuchezea kodi za wananchi. Ili upate uhalali lazima ipatikane serikali isiyo dhalimu.

Sasa fikiria hata wakati wa hayati ni madhira mangapi yalitokea.
Binafsi sipendi kuona uhai wa mtu ukichukuliwa kwa makusudi ya namna yeyote ile.

Ila, ili upate uhalali wa kupambaniwa timiza wajibu wako kwa kulinda uhai wa wengine.
 
Mungu hachezewi
sasa hivi kama naona wale wote wanaotajwa kuhusika wala hawana furaha ukiangalia kwa jicho la rohoni unagundua kabisa kuna kitu

siku zao zaja na zitatisha damu ya mtu haijawahi kwenda bure
Toeni unafiki hapa, kwani nani hajui JPM alikua na moyo wa plastiki Tena wa beberu? Aliwadanganya kuwa chanjo hazifai huku anatumia moyo kabisa wa beberu!! Sasa mashine imepata shoti ulitegemea Nini?
 
Ingependeza ianze kuundwa time ya kuchunguza kupotea kwa Ben-Saanane! Aliempoteza nae kapotea....! Malipo ni hapa hapa
 
Naunga mkono hoja,japo watawala hawawezi kukubali huo uchunguzi,ukitaka kujua kama hawatakubali,sikiliza kauli wanazotoa kwa sasa dhidi ya utawala wa awamu ya tano,utafikiri hawakuwa pamoja,mtu pekee ambaye yuku kimya ni kassim majaliwa,wengine utafikiri waliisubilia hii siku kwa hamu,ni kama waliijua,
 
Wewe ndie mpumbavu wa kiwango cha sgr,unadhibitisha utaahila wako kwa kuamini ujinga usiokuwepo,wewe unaongozwa na chuki au uzwazwa wa kitabia na kimaadili,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…