Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Ndio maana nimekuuliza usawa upi, sasa mimi sizungumzii huo usawa unaokusudia wewe.

Muktadha wako kwamba JPM ni special kuliko wengine na ndiyo maana ukauliza who is ben saanane na ndipo hapo likaja swala la kwamba JPM na Ben wote sawa....vyeo na pesa havikufanyi kuwa special.....Ukitaka kujua hilo ebu muue chizi uine jamhuri itakavyopeleka kwa pilato na kuhukumiwa kesi ya mauaji.
 
Kwani kuwa spesho kwa tafsiri yako wewe ni kupaa kama superman au? Rais wa nchi analindwa na kuhudumiwa ila chizi nani anamlinda ikiwa chizi na Rais wote sawa?
 
Mtaani JPM amefahamika kauwawa,

Mnakaa kwenye AC huku hamjui kinachoendelea sababu furaha yenu imepatkana mnasahau wananchi, sijui 2025 watawaangaliaje mtaani.
Lissu alipotaka kuuawa tuliomba kamati ichunguze Cha kushangaza mkatuzodoa. Eti Leo shetani wenu anakufa ndio mnatambua Kuna umuhimu wa uchunguzi? Mnachekesha sana. Alafu kama kauawa unategemea walisema hajauawa mtaamini hiyo ripoti? Si mtasema imechakachuliwa na "ridhiwani".

Ndio mjifunze siku nyingine msijipe umuhimu msiokua nao. Binadamu wote ni sawa
 
Mimi ni raia wa kawaida kama wengine sina uspesho wowote, sasa Ben yeye ni nani nchi hii?

Na ndio maana mnaona fahari kujiita wanyonge maana hamjitambui. Eti Mimi ni raia Sina uspesho wowote. Raia wa nchi ndio special kuliko hata Rais Seema hatujielewi ndio maana tunajiona wanyonge. Rais hawi Rais mpaka achaguliwe na wananchi. Raia ni bosi wa Rais.
 
Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ni wazi kabisa baadhi ya watanzania walio wengi wanashuku kifo cha Hayati Magufuli na kudhani kuwa kifo chake kina hujuma.

Serikali iheshimu mawazo ya watanzania tunaotilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka tukio la ule Moshi uliomfuata Hayati Magufuli mkoani Mtwara alipokuwa kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazidi kuwa na mashaka kuwa huenda zile zilikuwa baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwasi wetu unakuwa mwingi baada ya Habari kuwa nyingi za Hayati Magufuli kafariki kabla hata ya Serikali kutangaza huku picha za Gari la maiti ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini kina Tundu Lissu na Kigogo walikuwa wanapata taarifa na walikuwa na uhakika kabisa kuwa mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kabla Magufuli yupo hai viongozi walianguka kama kuku tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa hamna kiongozi hata mmoja aliyekufa?

Huwezi kusema ule ulikuwa uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea hivi na Serikal kukaa kimya huwezi jua Baadaye itakuwa na madhara gani pia hutojua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so ni bora Serikali ilimalize kwanza ili suala kwani kila siku mambo yanazidi kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hiyo hapo chini.

Yaani tupoteze hela kuunda tume kwa ajili ya fedhuli alieumiza na kuuwa watu, Haitatusaidia chochote kama taifa, alikua anaumwa akafariki acheni kupotosha, wameuwawa akina Alfonso mawazo, ben saa nane na haijawahi undwa tume sembuse huyo aliekufa kwa ugonjwa
 
Sasa mbona tunaona anatajwa sana huyo Ben saa8 au Lissu tu? Kama Magufuli alidhuru na kuuwa watu wengi mbona kila siku tunasikia hao hao tu ndio maana nauliza kwani wao ni nani hapa Tz?

Hivi ili haki yako ipatikane lazima uwe na cheo?. Yani Lissu Kama raia hana haki ya kesi yake kufanyiwa uchunguzi kisa hana cheo serikalini?. Mna roho mbaya Sana ya ubaguzi na hamfai hata kidogo. Lissu alipona risasi 38 ila Rais wa nchi wa mchongo akafa kwa shoti ya umeme. Kasome stori ya Sani Abacha alivyokuwa.
 
Kwani kuwa spesho kwa tafsiri yako wewe ni kupaa kama superman au? Rais wa nchi analindwa na kuhudumiwa ila chizi nani anamlinda ikiwa chizi na Rais wote sawa?

Na ndio maana Rais akafa madarakani kupeleka message ya kuto dharau wengine wasio na madaraka. Unamuua been saanane ukidhani utaishi milele kumbe na wewe ni wa udongoni. Nilipata someone kubwa ukiwa Rais ukadharau uhai wa raia wako, umelaaniwa.
 
Nyie wafuasi wa Magufuli mna shida Sana. Wakati tunalia Been saanane kauawa na Azory pia mkawa mnakebehi na kucheka. Alivyokuwa risasi Lissu ndio mkaja na uzushi wa kuwa Mbowe kampiga risasi Lissu. Mkaona fahari.

Leo mmeanza kulia kuwa Tume iundwe kuchunguza kifo Cha Magufuli. Tume ya Nini?. Na nyie muone uchungu ambao wengine waliupata.
 
Lissu alipotaka kuuawa tuliomba kamati ichunguze Cha kushangaza mkatuzodoa. Eti Leo shetani wenu anakufa ndio mnatambua Kuna umuhimu wa uchunguzi? Mnachekesha sana. Alafu kama kauawa unategemea walisema hajauawa mtaamini hiyo ripoti? Si mtasema imechakachuliwa na "ridhiwani".

Ndio mjifunze siku nyingine msijipe umuhimu msiokua nao. Binadamu wote ni sawa
Kama binaadamu wote sawa mbona unamwita mwenzio shetani? Au ndio hasira tu tusichukulie serious?
 
Nyie wafuasi wa Magufuli mna shida Sana. Wakati tunalia Been saanane kauawa na Azory pia mkawa mnakebehi na kucheka. Alivyokuwa risasi Lissu ndio mkaja na uzushi wa kuwa Mbowe kampiga risasi Lissu. Mkaona fahari.

Leo mmeanza kulia kuwa Tume iundwe kuchunguza kifo Cha Magufuli. Tume ya Nini?. Na nyie muone uchungu ambao wengine waliupata.
Nyie wafuasi wa azori na sanae sijui chunguzeni vifo vya watu wenu (kama wamekufa kweli) na nawashauri mumuulize mmiliki wa saccoss yenu mbowe anafahamu walipo, na sisi wafuasi wa Magufuli tutachunguza kifo cha Rais wetu. Wewe kama unahusika jiandae tu.
 
Toeni unafiki hapa, kwani nani hajui JPM alikua na moyo wa plastiki Tena wa beberu? Aliwadanganya kuwa chanjo hazifai huku anatumia moyo kabisa wa beberu!! Sasa mashine imepata shoti ulitegemea Nini?
😎 mnafiki mama yako na wahuni wenzio jiandaeni hata nyie mtakufa tena sio siku nyingi,muda utaongea
 
Na ndio maana Rais akafa madarakani kupeleka message ya kuto dharau wengine wasio na madaraka. Unamuua been saanane ukidhani utaishi milele kumbe na wewe ni wa udongoni. Nilipata someone kubwa ukiwa Rais ukadharau uhai wa raia wako, umelaaniwa.
Wamekufa mitume na kuwaacha waumini wao ndio itakuwa Magufuli kuwa madarakani madarakani?

Wewe tu hapo unamtaja Ben kwa sababu anajulikana na kuwaacha kutaja hao wengine waliyouliwa ila si maarufu(umewadharau).
 
Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ni wazi kabisa baadhi ya watanzania walio wengi wanashuku kifo cha Hayati Magufuli na kudhani kuwa kifo chake kina hujuma.

Serikali iheshimu mawazo ya watanzania tunaotilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka tukio la ule Moshi uliomfuata Hayati Magufuli mkoani Mtwara alipokuwa kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazidi kuwa na mashaka kuwa huenda zile zilikuwa baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwasi wetu unakuwa mwingi baada ya Habari kuwa nyingi za Hayati Magufuli kafariki kabla hata ya Serikali kutangaza huku picha za Gari la maiti ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini kina Tundu Lissu na Kigogo walikuwa wanapata taarifa na walikuwa na uhakika kabisa kuwa mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kabla Magufuli yupo hai viongozi walianguka kama kuku tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa hamna kiongozi hata mmoja aliyekufa?

Huwezi kusema ule ulikuwa uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea hivi na Serikal kukaa kimya huwezi jua Baadaye itakuwa na madhara gani pia hutojua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so ni bora Serikali ilimalize kwanza ili suala kwani kila siku mambo yanazidi kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hiyo hapo chini.

Umesema kitu sahihi sana. Juzi hapa lema anazungumza hadharani kuonesha kuna uswahiba na jk kiasi cha kusema alimwambia 'jamaa kashapotea nataka nirudi mwambie mama' na huku mama anamwita lema 'mwanangu' na kumfutia kesi utafikiri yeye ndio mahakama.
Lema alikua mtu anamuombea magufuli umauti sio siri. Alijidai unabii kumtisha kama haachi kufanya mambo anayofanya atakufa. Mambo ambayo umma wa wananchi walipenda.
Yafaa kwa kweli kuunda tume ili kuwaondolea wananchi shaka.
 
Hivi ili haki yako ipatikane lazima uwe na cheo?. Yani Lissu Kama raia hana haki ya kesi yake kufanyiwa uchunguzi kisa hana cheo serikalini?. Mna roho mbaya Sana ya ubaguzi na hamfai hata kidogo. Lissu alipona risasi 38 ila Rais wa nchi wa mchongo akafa kwa shoti ya umeme. Kasome stori ya Sani Abacha alivyokuwa.
Nauliza tena mbona kila siku mnamtaja Lissu na Bensa8 tu hao ndugu zenu huko ambao nao wamedhuriwa na kuuliwa mbona hamuwataji au hawana haki?
 
😎 mnafiki mama yako na wahuni wenzio jiandaeni hata nyie mtakufa tena sio siku nyingi,muda utaongea
Yes nitakufa ila Sina lawama na mtu maisha yangu nimeyakabidhi kwa Mungu. Tatizo ni huyo shetani wenu aliondoka huku damu zinamlilia, unadhani ni Mungu Gani atampokea?. Wiki Moja kabla hajafariki alikua anadhihaki viongozi wa dini madhabahuni eti hawana Imani sababu wanavaa barakoa!! Sasa ikawaje yeye mwenye Imani ndio akatangulia akaacha wasio na Imani?

Mungu hadhihakiwi
 
Back
Top Bottom