Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Kwahiyo bodi ikiteua manager wa kuendesha kampuni anageuka bosi wao?? Rais ni dhamana ya kuongoza serikali so ni mtumishi ndio maana akizingua wananchi kupitia bunge tunaweza kumuondoa kwa kura ya kutokua na Imani yake. Hiyo power hatuna kwa jaji mkuu wala CDF Wala governor wa benki kuu.

Kumuona Rais kama bosi ndio imetufikisha hapa..... Ruto sio bosi Kenya ndio maana hata hukumu za mahakama zinaenda kinyume na maelekezo yake.

Ukimuona ni bosi wakati katiba inasema wananchi ndio wenye mamlaka then tuliambiwa tulipe tozo nyingi tunalipa tu ilihali kikatiba tunapaswa tuhoji whether mahakamani au kupitia wabunge na wakapindua meza.
Point hapa raia si boss wa Rais, raia ana haki zake kwa mujibu wa katiba ila huwezi kumuamuru rais kwa lolote maana we si boss wake. Nachopinga hiyo dhana ya kusema Raia ni boss wa Rais.
 
Kuhusu dhambi hakuna asiye na dhambi hakuna binaadamu huyo, wewe kutofanya dhambi kama za Magufuli hakukufanyi kuwa huna dhambi na kwamba una uhakika wa kutoingia motoni kama Magufuli.
yani huyu zitto junior anachekesha sana anajihesabia haki anadai yeye hana shida na mtu na kajihakikishia mbingu ni yake 😃

kiburi cha uzima kinamsumbua sana
 
yani huyu zitto junior anachekesha sana anajihesabia haki anadai yeye hana shida na mtu na kajihakikishia mbingu ni yake 😃

kiburi cha uzima kinamsumbua sana
Hufanya mzaha sana na Mungu hawa jamaa hujisahau kwamba nao ni hutenda dhambi pia na si malaika.
 
Yes kufa nitakufa ila uzuri umekiri wote ni sawa. Sasa kiherehere Cha kudai kifo cha JPM kichunguzwe Cha Nini kama unajua wote tutakufa na hatuna uspecial wowote?

Nyie sukuma gang mna matatizo ya akili sio Bure.
sidhani kama kitakuwa ni kifo cha kwanza kuombwa kuchunguzwa kinachoshangaza ni kwanini wewe roho ikuume kwa sisi kutaka kichunguzwe

kipi kinakuwasha?
 
Yes tukiwa na Nia ovu au dhamira ovu dhidi ya CCM kama kuua, kuteka, kuiba kura n.k basi tunastahili kuitwa shetani. Otherwise ilikuwaje mtakatifu kama Paulo akaitwa shetani na Yesu? Kwani Yesu hakujua Petro ni binadamu?
huna hadhi wala mamlaka ya kumuita binadamu mwenzio shetani,wewe ni nani????
 
Ok kwahiyo ili umwite mtu shetani hadi awe na nia ovu dhidi yako?
 
Kwani kuwa spesho kwa tafsiri yako wewe ni kupaa kama superman au? Rais wa nchi analindwa na kuhudumiwa ila chizi nani anamlinda ikiwa chizi na Rais wote sawa?
Huo ni mtizamo wako ,ndiyo maana prof jay alishawahi kuimba wimbo na moja ya mstari wake akasema "anatoa heshima sawa kwa proffessor na taahira"......Kwahiyo kama wewe ulikuwa unamchukulia jpm ni special kwa kuwa analindwa huo ni mtizamo wako.
 
Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ni wazi kabisa baadhi ya watanzania walio wengi wanashuku kifo cha Hayati Magufuli na kudhani kuwa kifo chake kina hujuma.

Serikali iheshimu mawazo ya watanzania tunaotilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka tukio la ule Moshi uliomfuata Hayati Magufuli mkoani Mtwara alipokuwa kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazidi kuwa na mashaka kuwa huenda zile zilikuwa baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwasi wetu unakuwa mwingi baada ya Habari kuwa nyingi za Hayati Magufuli kafariki kabla hata ya Serikali kutangaza huku picha za Gari la maiti ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini kina Tundu Lissu na Kigogo walikuwa wanapata taarifa na walikuwa na uhakika kabisa kuwa mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kabla Magufuli yupo hai viongozi walianguka kama kuku tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa hamna kiongozi hata mmoja aliyekufa?

Huwezi kusema ule ulikuwa uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea hivi na Serikal kukaa kimya huwezi jua Baadaye itakuwa na madhara gani pia hutojua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so ni bora Serikali ilimalize kwanza ili suala kwani kila siku mambo yanazidi kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hiyo hapo chini.

Acha iishe kama ilivyo mkuu maan hata LISSU kuombewa tu walipiga marufuku!!
 
Kama unahamu nae sana kachunguze nani kakuzuia????
Tunamambo mengi ya msingi kama katiba,elimu,umaskini,maadili kuporomoka,miradi mikubwa tuache vyoooote tukuskilize Wewe!!!!
Uchunguzi uanzie Toka enzi za soko4 au karume?
Uchunguzi uanzie kwakina Sanane,lissu au mawazo.
Wajinga hudhani ikiwauma wao ndiyo ichunguzwe kwakuwa wao ndiyo wanamioyo wengine tulopoteza wapendwa wetu tuna maplastick!!! Jinga sanaaaaa!!!
 
huna hadhi wala mamlaka ya kumuita binadamu mwenzio shetani,wewe ni nani????
Kajifunzeni kiswahili... Yesu mbona alimuita Petro shetani!! Tatizo lenu mnadhani shetani ni pepo au jini Fulani hapana shetani ni tabia ya mtu yoyote anayepinga jambo kwa Nia ovu.

Tatizo sukuma gang mmetokea Burundi, kiswahili kinawapiga chenga
 
Ok kwahiyo ili umwite mtu shetani hadi awe na nia ovu dhidi yako?
Sio kwako tu hata kwa jamii husika. Kwani shetani Lucifer alikukosea Nini wewe? Si alikosana na Mungu kama Mungu. Ila trust me ukitokea ubaya wowote huwa lawama kwa huyo shetani Lucifer.

So same to me, JPM hajanifanyia ukatili directly ila amewafanyia wengi tu kwenye kata yangu. Ikiwemo mmoja kuvurugiwa biashara yake ya hardware kisa tu ndio mdhamini mkuu wa Chadema huku napoishi.

So naweza conclude kuwa ni shetani maana alipinga demokrasia na uhuru wa kujieleza kwa NIA OVU.
 
sidhani kama kitakuwa ni kifo cha kwanza kuombwa kuchunguzwa kinachoshangaza ni kwanini wewe roho ikuume kwa sisi kutaka kichunguzwe

kipi kinakuwasha?
Tunapinga maana Lissu na Saanane hawakuchunguzwa in fact mpaka Nyerere na Mkapa pia havikuwa vya kawaida so mkitaka hivyo vyote basi vifukuliwe kwanza isiwe JPM alone huo ni unafiki.

Na ndio maana Samia mjanja anajua hata yeye 2025 hana uhakika atakua Rais au hai so anaandaa mazingira mazuri Ili hata mkimfanyia figisu anaweza Kuta mazingira ya kisiasa yapo vizuri yeye kugombea chama chochote kile.

Sasa nyie mlifunga milango yote mlikataa vifo kuchunguzwa, mlikataa Lissu kuchunguzwa n.k alafu Leo na nyie mmenyooshwa ndio mnajifanya kulilia uchunguzi. There's no free lunch my friend.... Kubalini imekula kwenu
 
Point hapa raia si boss wa Rais, raia ana haki zake kwa mujibu wa katiba ila huwezi kumuamuru rais kwa lolote maana we si boss wake. Nachopinga hiyo dhana ya kusema Raia ni boss wa Rais.
Ndio mkuu wananchi ndio wenye HISA Rais ni Meneja wa kampuni au Mkurugenzi wa BODI. Sasa Toka lini director/manager akawa na nguvu kuliko shareholders? Maana mtaji wote upo kwa shareholders wakitoa mitaji kampuni inakufa Sasa hapo nani ni bosi??

Katiba pia imesema hivyo kuwa mamlaka ni ya wananchi not the other way round. Bila hivyo kusingekua na uchaguzi Wala bunge Wala mahakama maana bosi ndio final yaani RAIS!!
 
Huo ni mtizamo wako ,ndiyo maana prof jay alishawahi kuimba wimbo na moja ya mstari wake akasema "anatoa heshima sawa kwa proffessor na taahira"......Kwahiyo kama wewe ulikuwa unamchukulia jpm ni special kwa kuwa analindwa huo ni mtizamo wako.
Hata sijui unabisha nini mkuu, nishakwambia mimi sizungumzii huo usawa unaokusudia wewe.

Nakuuliza tena mtu spesho kwa tafsiri yako wewe ni mtu wa aina gani?
 
Ndio mkuu wananchi ndio wenye HISA Rais ni Meneja wa kampuni au Mkurugenzi wa BODI. Sasa Toka lini director/manager akawa na nguvu kuliko shareholders? Maana mtaji wote upo kwa shareholders wakitoa mitaji kampuni inakufa Sasa hapo nani ni bosi??

Katiba pia imesema hivyo kuwa mamlaka ni ya wananchi not the other way round. Bila hivyo kusingekua na uchaguzi Wala bunge Wala mahakama maana bosi ndio final yaani RAIS!!
Tatizo unaongea vya kufikirika halafu mimi naeleza uhalisia ulivyo, nimeuliza wewe raia unaouwezo wa kumuamuru rais ambaye unasema wewe ni boss wake?
 
Hata sijui unabisha nini mkuu, nishakwambia mimi sizungumzii huo usawa unaokusudia wewe.

Nakuuliza tena mtu spesho kwa tafsiri yako wewe ni mtu wa aina gani?

Watu wapo wa aina mbili ,mwanamke na mwanamme ,huyo special simjui yukoje. Mimi sijataja sehemu yeyote kwamba kuna mtu special.
 
Sio kwako tu hata kwa jamii husika. Kwani shetani Lucifer alikukosea Nini wewe? Si alikosana na Mungu kama Mungu. Ila trust me ukitokea ubaya wowote huwa lawama kwa huyo shetani Lucifer.

So same to me, JPM hajanifanyia ukatili directly ila amewafanyia wengi tu kwenye kata yangu. Ikiwemo mmoja kuvurugiwa biashara yake ya hardware kisa tu ndio mdhamini mkuu wa Chadema huku napoishi.

So naweza conclude kuwa ni shetani maana alipinga demokrasia na uhuru wa kujieleza kwa NIA OVU.
Sababu ya watu kumpa lawama shetani Lucifer ni kutokana na kuwa shetani Lucifer amejipa kazi kushawishi watu kutenda maovu.
 
Watu wapo wa aina mbili ,mwanamke na mwanamme ,huyo special simjui yukoje. Mimi sijataja sehemu yeyote kwamba kuna mtu special.
Wewe unakataa utofauti kwa watu unasema binaadamu wote ni sawa, wakati hata kuwepo mwanamke na mwanaume ni utofauti uliyopo kwa watu.

Humjui mtu spesho yukoje ila unapinga kuwepo mtu spesho na kusema watu wote ni sawa.
 
Narudia kusema tena kwamba binadamu wote ni sawa kwasababu ya kibaiolojia ndicho nilichokuambia.

Kusema kwamba kuna mtu special means hayupo kikawaida yaani kama vyakula basi ni GMO.
 
Narudia kusema tena kwamba binadamu wote ni sawa kwasababu ya kibaiolojia ndicho nilichokuambia.

Kusema kwamba kuna mtu special means hayupo kikawaida yaani kama vyakula basi ni GMO.
Hata kibaiolojia Mwanamke na mwanaume wote ni binaadamu ila wanatofauti hawapo sawa.
 
Back
Top Bottom