Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Ziundwe tume zifuatazo.

1. Tume ya Kifo Cha saanane na Azory.
2. Tume ya Kifo Cha Lwajabe.

3. Tume kuhusu kikosi Cha wasiojulikana.
4. Tume kuhusu fedha za China.
5. Tume kuhusu mashambulio ta risasi kwa Lissu.
6. Tume kuhusu uchakachuaji wa uchaguzi wa 2020.

7. Tume kuhusu fedha za BoT.

Hi Tume ya Magufuli haina maana alijulikana ana shida ya umeme wa moyo, hivyo muda wake ulifika maana mashine ilikuwa imeshachoka.
 
Zile push up zilitikisa Wire muhimu
 
Umemsahau Ally Kessy na jamaa yake Ndugai mpaka hapo nadhani imeeleweka.
Au uwongo nduguzanguni? Maana msema kweri ni mpenzi wa Mungu
 
Tuanze ya risasi 38
 
Hakuna raia aliye bora au special kuliko mwingine nchini,binadamu wote ni sawa! Ingekuwa kuna mtu bora kuliko mwingine means wasingekuwa wanaumwa au kufa! Cheo ni dhamana hakikufanyi uwe special.
Sasa mbona tunaona anatajwa sana huyo Ben saa8 au Lissu tu? Kama Magufuli alidhuru na kuuwa watu wengi mbona kila siku tunasikia hao hao tu ndio maana nauliza kwani wao ni nani hapa Tz?
 
Sasa mbona tunaona anatajwa sana huyo Ben saa8 au Lissu tu? Kama Magufuli alidhuru na kuuwa watu wengi mbona kila siku tunasikia hao hao tu ndio maana nauliza kwani wao ni nani hapa Tz?

ALikuwa anajibiwa huyo anayetaka uchunguzi wa Magu ufanyike ndiyo akauliza kwanini wasianze uchunguzi wa Ben au uchunguzi wa kupigwa risasi lissu? Kwani Jiwe ndiyo special? Alikuwa hataki double standard....Elewa Binadamu ni sawa usibabaike na vyeo au pesa na kujiona huna thamani kisa KAPUKU.
 
Pasi na shaka itafahamika. Na kwa taarifa tu hii itakua siku mbaya mbaya sana kwa wahusika. Wapo watakaokufa kwa presha hapohapo. Yule alikua Rais wa nchi, hawezi kufa tu kama kuku. Cha msingi ni kuomba uzima na kusubiri. Waangalieni wanaosemekana kuhusika kwa sasa ni kama wamechanganyikiwa, usoni wanachekacheka kama kawaida yao ila mioyo yao inalia. Sidhani hata kama wanapata usingizi
 
Unaposema binaadamu wote ni sawa ni sawa katika nini? Wote ni kundi moja la binaadamu ila hatupo sawa na ndio maana hata humu anatajwa sana Bensaa8 na Lissu kuliko wengine tungekuwa sawa tu basi tungekuwa tunataja wengine sio hao tu?
 
Kama ulisoma bailoji utajua usawa wenyewe ni upi.

Kuwa maarufu au kuwa na cheo hakuondoi usawa.
 
Hakuna raia aliye bora au special kuliko mwingine nchini,binadamu wote ni sawa! Ingekuwa kuna mtu bora kuliko mwingine means wasingekuwa wanaumwa au kufa! Cheo ni dhamana hakikufanyi uwe special.
Ukitoa cheo,mali na kinga za kiserekali,
Unabaki nani?
Huyo ndio wewe halisi.
Think
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…