Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Una malengo km yng kbs inaonekana, km vp ntakuwa makamu wako Mr.presdent.. we should clean this country from all evils and sufferings it be by blood or peace [emoji872]
 
Kwahiyo utapoteza rasilimali za nchi kwa matakwa yako, sio? Tayari una moja ya sifa za kuwa rais wa Tanzania. Endelea kiongozi.
 
Bila kusahau uitishe uchunguzi dhidi ya LISSU kupigwa masasi, kuuawa kwa Ben Saanane, Azory na wengine. Ishi humo...
 
Kilala kheri mwamba
 
Acha muuaji afe
 
Mbona hata kifo cha Mwl huenda kwa wengine kilikuwa cha mashaka?

Wengine wanasema hata Ben?!
 
Kama mnazani ni kweli huenda kulikuwa na namna mwachieni Mwenyezi Mungu aonaye yote atalipa kisasi na kuhumu yeye.

Auwaye Kwa upanga hufa kwa upanga Imeandikwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…