Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Nimeshikilia Magufuli maana ndio wanataka kifo chake kichunguzwe, wakati yeye alipokuwa madarakani alikuwa anazuia kitendo hicho kwa wengine.
Anachunguzwa kwa sababu alikuwa rais wa Tanzania, sasa hayo ya kwamba yeye alikuwa hivi na vile ni ya kwake yeye.
 
Mkianza kufukua makaburi mtataka na yule gavana kifo chake kichunguzwe
 
Anachunguzwa kwa sababu alikuwa rais wa Tanzania, sasa hayo ya kwamba yeye alikuwa hivi na vile ni ya kwake yeye.

Hao mnaotaka wachunguze kifo chake unadhani hawakujua tabia zake alipokuwa kwenye hicho cheo? Au kwakuwa watu wanatunza siri, basi unadhani wana huo muda wa kuchunguza kifo chake?
 
Huo ni mtazamo wako si kila mtu anao, mwengine yeye anaona ukiingilia maslahi yake binafsi basi kukuuwa wewe ni sawa tu.
Sisi tunachojua alikuwa muuaji na kama aliuliwa basi ndiyo vile kuwa malipo ni hapa hapa duniani
 
Naunga mkono hoja,uchunguzi huu
pia ufanyike kwa shambulizi dhidi ya Lissu,kutoweka kwa Azori, Sanane na maiti zilizokuwa zinaokotwa kwenye viroba baharini!
 
Weka ushahidi
Usiwe unakimbilia majibu rahisi, why ile crime scene ya ajali ile ilikua contaminated?,tafuta picha zake na ziangalie kwa makini, ile gari hata skiding brakes zake hazikuwepo kwenye ile ajali ya mchongo uelekeo wa ilivyogongwa inaonyesha jinsi gani wale killers walivyokua very amateurs
 
Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.

Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.

Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja ku
 
Pumbavu kabisa. Nyie mnawaza Uchaguzi wakati watanzania wapo kwenye kipindi kigum cha Adha lukuki nyie mnawaza uchaguzi.

Huu ndio ujinga unaofanya watanzania bado wasiviamini vyama vya upinzani.

Badala ya kuwasemea watanzania juu ya hali iliyopo sasa nyie MNA weka ujinga wenu wakuwaza uchaguzi.
Ukitumia akili utagundua kwamba kama Rais kauawa kweli trend inaweza kuendelea kwa sababu damu ya watu wakubwa huwa inadai.yaani wataanza kulipana kisasi Kwa hall hiyo nchi itajaa damu.
 
Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.

Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.

Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
Ndio maana mnahusiwa kutenda wema bila kujali utapata nini au utakosa nini. Huyo unayemsemea mbona hakutaka kufanya uchunguzi huru kwa Azory na Saa8! Maisha ya duniani mafupi ishini kwa wema. Vyeo hupita tu.
 
Kwa hali ilivyo sasa, CCM watajaza polisi wote kanda ya ziwa na ikishindikana mpaka JWTZ itahusika
Lakini wakiwauwa wenyewe watabaki salama?tena Sasa hivi watu wanaweza kurekodi ushahidi Kwa Simu.CCM wasijaribu kufanya hivyo watajiharibia Sana.
 
Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.

Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.

Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
Uanze kwanza uchunguz huru juu ya shambulio la lissu!!
 
Back
Top Bottom