Napendekeza jaji Samatta au Tundu Lissu kwenye nafasi ya uspika wa Bunge la katiba kwa sababu...

Nashukuru kwa mchango wako.
Nakubaliana na hoja yako kimsingi. Sasa fikiria kwamba samatta na mwapachu, hawatapata fursa ya kuwa wajumbe kwenye Bunge la katiba (mpka sasa siyo wajumbe) kati ya Mwapachu, Sitta, Chenge na Lissu ambao tayari ni wajumbe by virtue of Being wabunge wewe utampendekeza nani maana wote ni wanasiasa.
 
Reactions: SMU
Kitendo cha kupendekeza makada wa chama kuongoza Bunge la katiba ni kutaka kulifanya bunge hilo lionekane la kisiasa zaidi
kama mtakataa Tundu lisu asiwe spika wa mbunge maalumu tutaitisha maandamano nchi nzima.
 
Katiba ya Tanzania si jambo la kulifanyia mzaha kwamba hata punguani kama Tundu Lissu kutajwa kuisimamia.
 
Wengine waliotajwa huko ni Samweli Sitta, Andrew Chenge, Juma Mwapachu na Pius Msekwa na Jaji Samatta mwenyewe.

Jamani tuache ushabiki wa vyama. Katiba tunayotengeneza ni ya watanzania wote sio ya wana-CCM, CDM, CUF, NCCR etc na pia ni katiba ya vizazi vijavyo. Hao wote waliotajwa hapo juu including Tundu Lissu ni MAKADA WA VYAMA. Tunataka Spika ambaye atakuwa IMPARTIAL. Hayuko BIASED towards any political party. Mimi ningependelea kabisa kwa dhati ya MOYO wangu SPIKA wa BUNGE LA KATIBA awe Judge BARNABAS SAMATTA.

But again this is my wishful thinking, I bet my neck, kwakuwa mchakato wa katiba tayari umehodhiwa na CCM believe me Spika wa Bunge la Katiba atakuwa kada wa CCM! Hutakiwa kuwa a ROCKET SCIENTIST kutambua hilo. The writing is already on the wall.
 
Sitta (pamoja na matatizo yake) angeweza kufaa zaidi kwa sababu angalau ni mtu ambaye pande zote "mbili" za kisiasa zinaweza "kuishi" naye. Lissu hawezi kukubalika na upande ule mwingine, ni mwiba mkali kwao.
 
kama mtakataa Tundu lisu asiwe spika wa mbunge maalumu tutaitisha maandamano nchi nzima.

Dah, Maandamano hayo mngeitisha mwaka 2010 wakati Lisu alivyomwagwa na Mwanamama ANNA SEMAMBA MAKINDA
 
hata mimi napendekeza awe ni mzee samatta coz ni mtu makini sana.
 
Katiba ya Tanzania si jambo la kulifanyia mzaha kwamba hata punguani kama Tundu Lissu kutajwa kuisimamia.

Mkuu,
Mingoi, hata kama humpendi ni Lissu lakini nadhani kwa heshima aliyopewa na wananchi wake waliomchagua ni vizuri ukuapunguza ukali wa maneno. Kumbuka ukisema Lissu ni Punguani ina maana na sisi tunaomuunga mkono hapa JF umetutukana, Chadema wote anaowaongoza Bungeni kama mnadhimu umewatukana na kubwa zaidi watz wa Singida Mashariki waliomchagua nao umewatukana. Fikiria hilo unapochagua aina ya maneno ya kutumia kwenye jukwaa letu hili pendwa ili liendelee kuheshimika pia. siku njema.
 
Sitta (pamoja na matatizo yake) angeweza kufaa zaidi kwa sababu angalau ni mtu ambaye pande zote "mbili" za kisiasa zinaweza "kuishi" naye. Lissu hawezi kukubalika na upande ule mwingine, ni mwiba mkali kwao.

I get your point.
 
Katiba ya Tanzania si jambo la kulifanyia mzaha kwamba hata punguani kama Tundu Lissu kutajwa kuisimamia.

MKUU, Kuna kipindi CHADEMA walianzisha hoja ambayo niliiona ya msingi kuwa Spika wa Bunge asiwe Mbunge au kiongozi wa CHAMA CHA SIASA. Sasa nasikitika kuona Michael Aweda ambaye ana wadhifa ndani ya chama hichohicho anapendekeza Lisu ambaye ni mwanasheria wa chama chao kuwa Spika wa Bunge la Katiba. Hii maana yake ni nini, ni kuwa wanachotamka CHADEMA sicho wanachokimaanisha. Ukiongezea na hiyo sifa ya upunguani aliyonayo Lisu ndo kabisa CHADEMA wana mkakati wa kuliharibu bunge la Katiba
 
Mkuu, kuchaguliwa na wananchi si hoja kwani katika majimbo mengine, wananchi wamechagua mpaka wavuta bangi. wananchi wakati mwingine wanapiga kura za kukomoana kutokana na CCM kutosikiliza na kuzingatia machaguo ya wananchi. hayo yametokea katika majimbo ya Ubungo, Kawe, Iringa Mjini, Mbeya Mjini, Nyamagana, Arusha Mjini, Singida kwa Lisu na kwingineko
 
Wewe binafsi unadhani Lissu ni mtu mwenye akili timamu?
 
Punguani sio tusi bali ni sifa anayoibeba binadamu na kumbuka kuwa kiongozi si sifa wala kigezo cha kuwa una akili kupita wengine au uko timamu yanaweza pia kuwa makosa ya wananchi kuchagua na ndio demokrasia.
 
Hata Kilwa kusini kuna jamaa anajiita -----
 
HIvi mkuu Aweda wajumbe wa hilo bunge hata akina
LUSINDE
PROFESSOR MAJI
LA KAIRO
NCHEMBA
NKAMIA
SERUKAMBA .......
hawa nao watakuwa wajumbe?
naomba ufafanuzi
 
Hata Kilwa kusini kuna jamaa anajiita -----

Huyu ndio chizi kabisa, wabunge hasa wa upinzani hawana utaratibu wa kuchujwa na vyama vyao. Huko ukiwa mpigaji kelele za kutosha unapata kuwa mbunge. Orodha ya wabunge machizi ni ndefu mno ukimuongeza na Machali pia.
 
Nakushukuru Mkuu. Tuendelee kuorodhesha majina ya wabunge wao ambao wanajipa sifa kumbe akili zao si timamu hata kidogo. hapo hatujaweka wale wasagaji
 
HIvi mkuu Aweda wajumbe wa hilo bunge hata akina
LUSINDE
PROFESSOR MAJI
LA KAIRO
NCHEMBA
NKAMIA
SERUKAMBA .......
hawa nao watakuwa wajumbe?
naomba ufafanuzi

Mkuu, hao hawakosekani na ndo watakaofanya siku Lisu akipendekezwa na akina AWEDA apandishe ukichaa wake mara moja. Umemsahau na Dk Hamisi Kigwangallah
 
HIvi mkuu Aweda wajumbe wa hilo bunge hata akina
LUSINDE
PROFESSOR MAJI
LA KAIRO
NCHEMBA
NKAMIA
SERUKAMBA .......
hawa nao watakuwa wajumbe?
naomba ufafanuzi

Huyu naye mwenye suti ya kijivu ni mjumbe tena ni msaidizi wa karibu na Tundu Lissu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…