Napendekeza jaji Samatta au Tundu Lissu kwenye nafasi ya uspika wa Bunge la katiba kwa sababu...

Napendekeza jaji Samatta au Tundu Lissu kwenye nafasi ya uspika wa Bunge la katiba kwa sababu...

Aweda utakuwa na matatizo unadhani Lisu ni mzima mpaka awe kiongozi wa chombo mhimu kama hiki.
 
Punguani sio tusi bali ni sifa anayoibeba binadamu na kumbuka kuwa kiongozi si sifa wala kigezo cha kuwa una akili kupita wengine au uko timamu yanaweza pia kuwa makosa ya wananchi kuchagua na ndio demokrasia.

Mwanao akikuita punguani utaridhika?
 
Aweda utakuwa na matatizo unadhani Lisu ni mzima mpaka awe kiongozi wa chombo mhimu kama hiki.

Rais Kikwete, alama ya nchi, mkuu wa majeshi juzi alizungumza na watanzania wote kwa njia ya vyombo mbali mbali vya habari Radio, tv na mgazeti. Ktk hotuba hiyo Rais alitaji jina la Lissu karibia mara kumi. Je, ni kwa nini Rais amzungumzie mtu asiyemzima tena kwa kulihutubia taifa zima? Je, Rais ni mzima kwa kumjadili mtu asiyemzima??? Ni swali tu mkuu.
 
Mkuu Aweda hivi ukiulizwa kigezo kimoja tu cha msingi kwa Lissu kupendekezwa katika bunge la katiba utajibu ni nini? tuacheni mzaha kwenye mambo ya msingi.
 
Mapunguani wako CCM maana ndo kuna wezi wakubwa wasio na aibu hata chembe!! Mshahara wa PM 26m kwa mwezi huu ni uuaji!!
 
Chaburuma, mingoi, Nduka na Elungata might be siri kubwa?????? Ni kwa jinsi mjadala unavyoendelea. mawazo yangu lakini.
Aweda kama taifa hili lingekuwa na watu wa akili zako hakika mkuu tungepata shida sana kupata maendeleo na kupata viongozi wazuri,kweli lisu unaweza kumpendekeza kuwepo kwenye kupewa uongozi kwa jinsi alivyo muongo na mnafiki.
 
Ndg. Zangu ili mchakato huu uendelee kwa manufaa ya wananchi wote, napendekeza Spika wa Bunge la Katiba asitokane na wanasiasa. Mimi nampendekeza Francis Stola (Samahani kama nimekosea jina lake). Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika
 
Rais Kikwete, alama ya nchi, mkuu wa majeshi juzi alizungumza na watanzania wote kwa njia ya vyombo mbali mbali vya habari Radio, tv na mgazeti. Ktk hotuba hiyo Rais alitaji jina la Lissu karibia mara kumi. Je, ni kwa nini Rais amzungumzie mtu asiyemzima tena kwa kulihutubia taifa zima? Je, Rais ni mzima kwa kumjadili mtu asiyemzima??? Ni swali tu mkuu.
Kwa nini mahakamani wanawajadili wenye makosa tatizo lako akili huna jk alikuwa anaimbia jamii kuwa lisu ni muongo,mnafiki,mzandiki,mzushi ili jamii ijue namna ya kuishi na mtu wa namna hiyo.
 
Tatizo hii hoja imenajisiwa na akina Lizaborn, Simuyu Yetu, Mingoi, Chabruma and Co. Imekuwa si hoja tena kwasababu hawa ma-jamaa They always DISCUSS PEOPLE .... Simple mind discuss people.

I rest my case, Mkuu Aweda hutaniona tena kwenye mjadala huu.
 
Rais Kikwete, alama ya nchi, mkuu wa majeshi juzi alizungumza na watanzania wote kwa njia ya vyombo mbali mbali vya habari Radio, tv na mgazeti. Ktk hotuba hiyo Rais alitaji jina la Lissu karibia mara kumi. Je, ni kwa nini Rais amzungumzie mtu asiyemzima tena kwa kulihutubia taifa zima? Je, Rais ni mzima kwa kumjadili mtu asiyemzima??? Ni swali tu mkuu.

Mkuu, hata kwenye vitabu vyetu vitukufu yaani Biblia na Qur'an, Mwenyezi Mungu amemtaja Shetani mara nyingi tu. hiyo haina maana kuwa anampenda au anafurahia matendo yake. mara nyingi shetani hutajwa kwa kulaaniwa. Hivyo usishangae Rais kumtaja Lisu kwa kiwango hicho. hitimisho tunayopata ni kuwa Rais hakumtaja Lisu kwa wema bali kwa ubaya tena kampa majina yanayoendana na tabia yake yaani UONGO, UNAFIKI, UZANDIKI, UFITINI, UZUSHI nk. Bahati mbaya hakutaja ile sifa yake kuu yaani Utaahira, Upunguani na Ukichaa
 
Tindu Lissu NO...
Sidhani kama ni sahihi kumfanya Messi awe refa kwenye mechi ambayo anategemewa sana kupachika mabao...
 
Tupatie orodha hiyo ya majina kutoka gazeti la Rai ili tuyachambue vizuri.

Kuhusu Lissu,mimi naona ni bora aendelee kuwa mbunge wa kawaida tu katika hilo bunge ili aweze kusaidia kutoa mchango na mawazo yake na pia kuwa kinara wa kuhakikisha mambo yanakwenda sawa kama kawaida yake.Hapa ninamanisha kuomba miongozo,kutoa taarifa,utaratibu n.k.

Akiwa Spika hawezi ku-play part vizuri kama tunavyomjua.

Bunge la katiba bila Lissu kama mbunge ni sawa na chai bila sukari.

Umenena vema kabisa,

Kwanza, tupate habari na majina ya watz waliopendekezwa na gazeti la Raia Mwema kikamilifu hapa; na

Pili, Tundu Lissu anastahili abaki kuwa Mbunge, kwa maana mchango na wajibu wake ni muhimu sana wakati wa bunge maalum la Katiba.

Period.
 
Mkuu naomba nikuombe radhi kwa kupingana na hoja yako kuhusu Lissu. Hatungekuwa hivi tulivyo kama kusingetokea mmoja akasimamia jambo kwa lengo la kutaka haki itendeke. Lugha uliyotumia ni lugha aliyotumia Mh. Rais kumpamba Lissu, kama Lissu ndivyo alivyo basi hakika Rais asingewaita Ikulu ili kuyamaliza. Kama siyo hawa wapinzania tunaowatukana leo lini ungejua kuwa kuna fedha za hawa walioko madarakani zimefichwa Uswiss? EPA ungeijuaje wewe kama siyo hao unaowatukana leo? Kuna mengi ningeweza kuyaandika hapa lakini nayaacha ili tusiwe wavivu wa kufikiri.

Na tusingejia mshahara wa Waziri Mkuu na kiasi wanacholipwa waheshimiwa wabunge
 
Tatizo hii hoja imenajisiwa na akina Lizaborn, Simuyu Yetu, Mingoi, Chabruma and Co. Imekuwa si hoja tena kwasababu hawa ma-jamaa They always DISCUSS PEOPLE .... Simple mind discuss people.

I rest my case, Mkuu Aweda hutaniona tena kwenye mjadala huu.

Mkuu, bora umkimbie huyu Aweda ahangaike peke yake na Lisu wake
 
Umenena vema kabisa,

Kwanza, tupate habari na majina ya watz waliopendekezwa na gazeti la Raia Mwema kikamilifu hapa; na

Pili, Tundu Lissu anastahili abaki kuwa Mbunge, kwa maana mchango na wajibu wake ni muhimu sana wakati wa bunge maalum la Katiba.

Period.

Lisu hastahili hata huko kwenye bunge la katiba. atatuharibia bure na kutuletea uchadema wake
 
Back
Top Bottom