Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,337
Wengine waliotajwa huko ni Samweli Sitta, Andrew Chenge, Juma Mwapachu na Pius Msekwa na Jaji Samatta mwenyewe.
waliotajwa wote ni weledi ukiondoa mzee wa vijisenti. hakuna mtanzania anayemwamini andrew, nionavyo mimi, bila kuchanganya siasa, juma ,pius au sitta wanaweza kuleta mezani kile watanzania tunataka. Lissu anafaa sana ila kwa hali ya woga tuliyonayo watz sidhani kama endapo mambo yataenda mrama kuna atakyehoji mambo...kwa maana iyo Lissu aachwe huru akiwa watchdog ukumbini. Akikaa mezani hatoweza kuleta mawazo yake ambayo kiukweli wengi tunayatemgemea yaboreshe. Lissu aachwe huru aweke mambo sawa endapo hali itakwama ktk ufafanuzi,miongozo na utaratibu... Ebu twende nje ya boksi, kwa kuwa tunatunga sheria mama ya nchi, kwa nini tusifikirie wale majaji wa mahaka kuu kusimamia iyo sheria?natambua ni muhimili mwingine ila ktk kuweka taifa mbele ebu tusijiminye kwenye mihimili wooote tushirikiane. ni mawazo yangu tu.