johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa...... Umeshapanic!Yale mashetani Magu aliokua anazungumzia ndo haya!....utaacha lini ukiazi wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa...... Umeshapanic!Yale mashetani Magu aliokua anazungumzia ndo haya!....utaacha lini ukiazi wewe?
Wananchi wataamua
Mbona unapingana na m/kiti wako?Maendeleo hayana vyama!
Katiba ya nchi ina ugumu gani kuibadili ikiwekwa mbele ya akina Injinia wa Finance and Building Babu Tale?Hiyo katiba ya CCM haina madhara kwa wananchi na nirahisi kubadilishwa muda wowote.... Ugumu Ni kubadili katiba ya nchi
Hakuna ugumu popote, wananchi wa Tanzania walio wanaCCM watapiga kura kwa taratibu za kubadilisha katiba ya chama chao; na wananchi wa Tanzania watapiga kura kwa mabadiliko ya katiba ya nchi yaoHiyo katiba ya CCM haina madhara kwa wananchi na nirahisi kubadilishwa muda wowote.... Ugumu Ni kubadili katiba ya nchi
Bwashee endapo ktk historia kusingekuwa na watu wenye uthubutu wa kupenda kufanya mabadiliko, ingalikuwa ni kikwazo kikubwa sana ktk uvumbuzi na ugunduzi tunao ushuhudia hivi leo duniani.CCM ni chama dola.
CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi.
CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania.
Dr Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha uwezo mkubwa sana katika kusimamia misingi ya chama na uzalendo kwa ujumla.
Kwa mageuzi makubwa anayoendelea kuyafanya ndani ya chama ambayo yameonyesha ufanisi mkubwa kwa maendeleo ya taifa, napendekeza katiba ya CCM ifanyiwe marekebisho ili nafasi ya mwenyekiti isiwe na ukomo.
Hii itatoa fursa kwa mwenyekiti Magufuli kuendelea na uongozi hadi atakapoamua kung'atuka kama alivyofanya baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu karne hii ,bado mnakua na mawazo ya hivi! Yan unamanisha kwamba ndani ya chama chenu hakuna mwenye mawazo mbadala,mazuri,na ya kujenga zaidi,bali tu jpm,CCM ni chama dola.
CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi.
CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania.
Dr Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha uwezo mkubwa sana katika kusimamia misingi ya chama na uzalendo kwa ujumla.
Kwa mageuzi makubwa anayoendelea kuyafanya ndani ya chama ambayo yameonyesha ufanisi mkubwa kwa maendeleo ya taifa, napendekeza katiba ya CCM ifanyiwe marekebisho ili nafasi ya mwenyekiti isiwe na ukomo.
Hii itatoa fursa kwa mwenyekiti Magufuli kuendelea na uongozi hadi atakapoamua kung'atuka kama alivyofanya baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona Mbowe anafanya vizuri hapo Chadema so habadilishwi!Mkuu karne hii ,bado mnakua na mawazo ya hivi! Yan unamanisha kwamba ndani ya chama chenu hakuna mwenye mawazo mbadala,mazuri,na ya kujenga zaidi,bali tu jpm,
Haya ni mawazo ambayo wenda unawatukana watz bila kujua kwa kujua,sawa na yale yakusema kwamba aongezewe mda,mawazo ya kizamani Sana ,
Mtashindana ila hamtashinda KWA hili,tz ina watu makini wengi,ambao wakipata nafasi ya juu kiungozi wanaweza kutenda zaidi,acheni izo
Bwashee ........unaujua maana ya pendekezo?Watanzania wengi ni wanafiki sana! na pia ni waoga na watu wa kujipendekeza sana ! Unaweza kuta huyu mleta mada ni mmojawapo na usije kushangaa baada ya Mhe.Dr.Magufuli kutoka Madarakani watu wa aina hii ndo wakaongoza kumbeza na kumdhihaki kwa aina ya uongozi wake.
Mimi nadhani hawa wanafiki watulie wamwache Mhe. Dr.Magufuli afanye kazi zake za Urais na Uenyekiti wa CCM kwa mujibu wa Katiba ya Nchi na Katiba ya CCM akimaliza muda wake aondoke akapumzike CHATO,Nchi na CCM itapata kiongozi mwingine ( wapo wengi wenye uwezo mkubwa tu)!
Wanafiki hawa hawajiulizi kama Waheshimiwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wangekuwa na mawazo ya kijinga kama haya wanayoleta Leo, Mhe. Dr.Magufuli angepataje huo Urais na Uenyekiti wa CCM?!
Mleta mada lazima ajue kuwa kila mtu ana mtazamo wake kuhusu Nchi yetu na CCM.
Mfano yeye anaona Mhe. Dr.Magufuli ni Kiongozi ambaye hajawahi kutokea ndani ya Nchi yetu na CCM lakini wapo pia watu " wanasikilizia" miaka 4 ya Dr.Magufuli amalize tu aondoke kwa hawaoni jipya na mwelekeo wa maana kwa Nchi na CCM.
Utafiti wowote uanza na "observation" ebu angalia CCM ilishinda uchaguzi uliopita kwa kishindo Nchi nzima mwaka jana, lakini mbona Wana CCM hawana furaha kama kipindi cha Kikwete?!
Maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM tarehe 5/02/2021 ni kielelezo kizuri kuwa ndani ya CCM hakuna furaha tena, watu wanavuta muda Dr.Magufuli amalize aondoke.
Hivyo mleta mada lazima aelewa kuwa kinachoweza kuleta balance muda wote ni watu kuheshimu Katiba ya Nchi na Katiba ya CCM.
Mhe.Dr.Magufuli kwa sasa anafanya ya kwake kwa mujibu wa Katiba ya Nchi na Katiba ya CCM,akimaliza muda wake AONDOKE aje mwingine pia tuone aweza kufanya nini na huo ndio Utamaduni mzuri!
Mengine yote yanayosemwa yasiyo ya kikatiba ni kutoka kwa watu wanafiki wanaoangalia mambo kwa MACHO YA UGALI!
Miaka 44 ya ccm ,wamepita viongozi wengi ,na hawakuona umuhimu wa kuwa na utaratibu unaopendekeza, why kipindi hizi Cha jpm ndo ionekane jpm ana kitu tofauti na watangulizi wake, na watz wengine kwenye chama ,au taifa,mpaka kubadilisha katiba ya chama, au katiba ya nchi ili kuendelea kubaki madarakani,Mbona Mbowe anafanya vizuri hapo Chadema so habadilishwi!
Wananchi wataamua
Mambo tuliyoshindwa kuyafanya marais watatu kwa miaka 30 Rais Magufuli ameyafanya kwa miaka 3 by Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi.Miaka 44 ya ccm ,wamepita viongozi wengi ,na hawakuona umuhimu wa kuwa na utaratibu unaopendekeza, why kipindi hizi Cha jpm ndo ionekane jpm ana kitu tofauti na watangulizi wake, na watz wengine kwenye chama ,au taifa,mpaka kubadilisha katiba ya chama, au katiba ya nchi ili kuendelea kubaki madarakani,
Katika ninyi wanaCCM wote hakuna mwingine anayefaa? Mnatuumiza kwelikweli na huyu mtu wenu mnayetaka atawale mileleCCM ni chama dola.
CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi.
CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania.
Dr Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha uwezo mkubwa sana katika kusimamia misingi ya chama na uzalendo kwa ujumla.
Kwa mageuzi makubwa anayoendelea kuyafanya ndani ya chama ambayo yameonyesha ufanisi mkubwa kwa maendeleo ya taifa, napendekeza katiba ya CCM ifanyiwe marekebisho ili nafasi ya mwenyekiti isiwe na ukomo.
Hii itatoa fursa kwa mwenyekiti Magufuli kuendelea na uongozi hadi atakapoamua kung'atuka kama alivyofanya baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
Maendeleo hayana vyama!
84& zilitoka wapi bwashee kama siyo kwa wananchi?Magufuli hategemei kura za wananchi kukaa madarakani, huwa anategemea madaraka yake kuwaamulia wananchi.
Huwezi kubadilisha katiba ya ccm halafu ya nchi isiguswe. Wakati unajua wazi kuwa CCM imehodhi utawala wa nchi na chama hakiwezi kuwa na rais ambae sio mwenyekiti wa chama.CCM ni chama dola.