Napendekeza kazi za kuhesabu idadi ya watu (Sensa 2022) ifanywe na wajumbe wa nyumba 10 , pesa zitakazookolewa zikajenge flyover TAZARA

Napendekeza kazi za kuhesabu idadi ya watu (Sensa 2022) ifanywe na wajumbe wa nyumba 10 , pesa zitakazookolewa zikajenge flyover TAZARA

Watanzania hampendi kuona pesa zikiingia mtaani umma wa watanzania wafaidi.

Ooooh Mara pesa hakuna mtaani[emoji28][emoji28][emoji28]
Hizo pesa za tablet shs.900k kila moja, mara watu laki 6, unajua nani anachukua? Hakuna jata 100 inakuja mtaani
 
Hata me nlikuwa na wazo ka lako mkuu.. wangepewa wajumbe tu maana waoa wanaifaham vizuri mitaa yao na wananchi wao kwaujumla.. wangewa usaidizi kidoagoa tu jambo lingeenda chaap.
 
Back
Top Bottom