Wote ni mashahidi kuwa Sensa ya mwaka huu ilikuwa na promo sana ukilinganisha na zilizopita, na dhumuni kubwa ni kuongeza hamasa kwa wananchi ili waweze kushiriki. Ila kama ilivyokuwa kwa Post code (anuani ya makazi), sensa inaharibikia mwishoni, na data zitakazokusanywa hazitakuwa na uhalisia...