FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #101
Sijajua hiyo imetajwa wapi, ila nafahamu kwamba hilo ni hitaji la kuwa mjumbe.Kwani katiba yetu inataja sifa za wajumbe wa mashina?
Je, moja ya sifa ni kujua kusoma na kuandika?
Hizo pesa ni bora wawape mikopo hao graduates, lakini sio kuchezea resources at such a painful scale!!Kabisa mkuu.
Serikali Ina hela...
Jamaa anataka kuwazibia rizki graduates kibao walio mtaani na wana uhitaji wa hiyo hela.
Mjumbe ashindwe kujaza fomu? Seriously, ukizingatia ndicho anachofanya daily?Kwa lile zoezi la sensa lilivyo,linahitaji usmart Kwa sehemu Fulani ambao huo usmart sidhani kama wajumbe wanao.
Huo uwezo hawana,hata kama wanawajua vizuri watu Wao.
Acha graduate wapate hela,,,hii nchi siyo kila siku wanaokula hela ni walewale tu..the rest wanasota.
Mjumbe ataweza complications za kusiliba yale madodoso inavyotakiwa?Mjumbe ashindwe kujaza fomu? Seriously, ukizingatia ndicho anachofanya daily?
Makontena yanayobebwa na Malorry yanayopita hapo yanapeleka mizigo wapi kamaPesa zitafutwe na watanzania ziende zikajenge fly over Dar, si bora watu walambe usali tu kuliko huu ujinga uliouwaza.
Serikali mara ngapi imekuwa ikichezea pesa?Hizo pesa ni bora wawape mikopo hao graduates, lakini sio kuchezea resources at such a painful scale!!
Kazi inafanywa na wajumbe, yeye ni kuzidigitize (kwa PC/Tablets), kisha atazituma kwa ofisi ya sensa ya wilaya/mkoa. Hata akaifanya kwa wiki 2, hakuna tatizo, atapewa posho kidogo ya overtime.Hiyo Kazi atafanya pek yake? Yaani watu wa kata au kijij kizima au mtaa atafanya afisa mtendaji peke yake?
Kwani wewe ulitaka afanye kwa siku ngapi? Kitu kinafanyika mara moja kwa miaka 10, kuna shida gani hata akafanya mwezi mzima? Ofcourse atapewa posho kidogo ya kifuta jasho kwa ajili ya extra workKufanya gitization za data za kila mtu kivyakevyake mkuu ni cost sana. Kumbuka kwny sensa kila taarfa ya mtu huwa separate. Asa kijiji kina wananchi 5000 kwa mfano atafanya siku ngapi na kumbuka huyo mjumbe au Mtendaji hana jukumu moja. Ana majukumu mengine ya kiserikali
We ukisikia dodoso unaona kitu kimoja cha ajaaaabu, mjumbe hashindwi kujaza fomu. Kama kuna training wapewe, hawashindwi!Mjumbe ataweza complications za kusiliba yale madodoso inavyotakiwa?
Mi zote huwa zinaniuma, ila hizi ni nyingi sana, karibu trillion 1 zinatupwa shimoni hivi hivi tunaziangalia kweli?!Serikali mara ngapi imekuwa ikichezea pesa?
Mtu anaruka na chopa huko bila hata sababu za msingi ..
Wanalipana Hela ya kufuru wenyewe Kwa wenyewe...hizo hazikuumi mkuu ila zinakuja kukuuma hela watakaopata graduates wenye hali ngumu mtaani!
Sensa ni zoezi kubwa na nyeti. Ndio maana shughuli zote nchini zitasimama kwa hiyo siku ya kuhesabu.
Kila mtu atahesabiwa sehemu ambapo zoezi litamkuta. Haya mambo yapo juu sana ya uwezo wa hao wajumbe.
Logistics zake ni zaidi ya hapo unapoona.
Ingekuwa ni rahisi hivyo hao wajumbe wangekuwa wanatuma taarifa kila mwisho wa mwaka, serikali ina update taarifa tu.
Isitoshe serikali ina hela nyingi sana, waache jobless wenzako wakapate hela hata ya vocha. Manake hata hiyo hela unayoiwazia inaweza isifanye kitu watu wakaipiga vilevile. Unawanyima masikini wenzako hela.
Hamna hoja hapa, kwani hii sensa inaendeshwa na serikali ya Chadema?
Sijaomba, we umeomba?vip we umeomba nafasi?
Umejibu kitaalamu sana.Dogo sensa sio kama unavyofikiria kwa nchi hizi maskini.
Kulikuwepo na kitu kinaitwa EPR ( village electronic population register) wakapewa baadhi ya hao unaosema kwa baadhi ya wilaya hela nyingi zikatumika ,ulizia matokea yake..
Alafu ujue sensa sio kuhesabu watu like 1,2,3,...n hapana,sensa inajumuisha demographic variable nyingi, economic variable nyingi, social variable nyingi.
Na sasa kuna variable za majengo na anwani za makazi na huwezi mpa tablates mjumbe akaanze kuhesabu watu.
Sensa kwa afrika ni very cost fully
Wenzetu wazungu wameendelea kijitali ndio maana kwao hutasikia sensa period .Coz wanatumia de facto method of sensa.
Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za serikali ya mtaa/kijiji, ofcourse wapewe na posho kidogo.
Afisa mtendaji akusanye zote na kuziwasilisha ofisi ya wilaya/mkoa ya sensa kwa ajili ya majumuisho na uchakataji wa taarifa.
Pesa zitakazookolewa ziende zikajenge flyover pale TAZARA, foleni ya malorry pale imesababisha hali kuwa mbaya sana.
Wasiweze vipi? Kwani wanamtindio wa ubongo?Umejibu kitaalamu sana.
Huwezi kuwapa hao wajumbe kazi ya kitaalamu.
Hawataweza hata kuuliza maswali ya ku-capture hizo variable zote.