FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kampuni hii itaomba vibali vyote kutoka mamlaka husika kwa ajili kufunga Camera katika sehemu zote za makutano ya barabara (Junctions), mitaa mikubwa ya wilaya zote 5 hasa hasa katikati mwa mji, Sinza, Kinondoni, Masaki Nk.
Linapotokea tukio lolote, mfano wizi wa vifaa vya gari, wizi wa gari, utekaji, mauaji au tukio lingine lolote ambalo linahitaji forensics zifanyike, polisi au muhusika meingine yetote kwa kupitia polisi wataomba footage kwa ajili ya kufanya analysis.
Footage ya kuanzia dakika 1 kushuka chini itakuwa laki 1, ya dakika 2 kushuka chini itakuwa laki 2, and so on.
Kadri kampuni inavyoimarika, itaweza kufunga CCTV hadi katika vichochoro vya Tandale kwa mfuga mbwa, na itaweza kudhibiti hata wale panya road.
Napendekeza iitwe, ‘Total sight’ na iwe na logo ya jicho;
Nakaribisha maoni
=========================
Update: 04/09/2023
www.jamiiforums.com
==========================
Update: 04/04/2024
www.jamiiforums.com
=========================
Update: 01/08/2024
View: https://www.instagram.com/p/C-IHhW8CKMw/?igsh=cjFqdjZ5dGNva3M2

Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu
Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani. Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
==========================
Update: 04/04/2024
Rais Samia: Ili kudhibiti rushwa barabarani, trafiki waondoke barabarani, kamera na taa ndio zifanye kazi
Rais Samia ameagiza kuanza kuondolewa Kwa Matrafiki ambao walijigeuza Wala Rushwa Barabarani badala yake ametaka zifungwe Kamera na Taa Ili Kuongoza magari. --- Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kukabiliana na rushwa nchini, trafiki barabarani wanapaswa kuondolewa badala yake taa na...
=========================
Update: 01/08/2024
View: https://www.instagram.com/p/C-IHhW8CKMw/?igsh=cjFqdjZ5dGNva3M2