Napendekeza kuanzishwa kwa kampuni binafsi ya CCTV Surveillance kwa jiji la Dar es salaam

Napendekeza kuanzishwa kwa kampuni binafsi ya CCTV Surveillance kwa jiji la Dar es salaam

Ndio maana hawa panya buku wanaishia hiyo mitaa ya mbagala sijui sababu wanajuwa town kuna camera za watu almost kila sehemu watakamatwa tu,
 
We funga afu tione
Mbona taa za barabarani kule juu ya milingoti haziibiwi wakapime chuma chakavu? Kumbuka hizo ni smart cameras zenye GPS ndani, yaani unakuwa unajua exact location ya Camera, hata ukiiba
 
Watu mnachekesha sana. Mambo madogo kabisa ya msingi yametushinda mnakimbilia ku-sugest mambo yaliyotuzidi kimo. Do the basic first!
Wala hayajatuzidi kimo, maana hata National Data Centre watapata mteja wa kudumu, na Data zitakuwa salama zikiwa mikononi mwa NDC badala ya kuunda data base mpya kwa ajili hii tu..
 
Back
Top Bottom