Napendekeza kwenu kuwa Ridhiwani Kikwete atatufaa sana Urais baada ya Magufuli

Nakazia hiyo comment hapo juu.

Mleta mada jifunze ku balance shobo, unless utuambie Ridhi ndio kakutuma.
Wewe hukuona ile picha Bashite akimfunga viatu riz na akaula? Sasa mleta mada kaamua kulamba viatu kabisa.
 
Mkuu naungana nawewe kwahili pasipo shaka yoyote ridhi one anatufaa 2025.

Ila pliz mkuu mambo sio mazuri kama kuna masurufusurufu naomba namimi nikumbuke pm.
 
Cocaine itakuwa Huru sana nchini na hata Drug Barons wengi wataomba Tanzania iwe Makao Makuu yao, ila wenye Wake wazuri tutakoma zaidi.
 
HII NCHI MTU YOYOTE ANAWEZA KUIONGOZA HATA PIERE LIQUID.

KAMA HUYU KILAZA AMEWEZA KUKAA IKULU BASI MTU YOYOTE ANAWEZA KUONGOZA.
 
Kwani amewahi kuongoza lini hayo yakitokea? Tazama Zanzibar chini ya Hussein itakavyopaa. Kiongozi huandaliwa. Mtazame Kenyatta.
Kenyata kweli ndiye mfano?niliona kwenye gazeti la huko Kenya diwani aliingia matatani kwa kuwaomba waliokaribu na Uhuru wamwambie aache kutumia hashishi.
 
Yakokoyo
 
Kenyata kweli ndiye mfano?niliona kwenye gazeti la huko Kenya diwani aliingia matatani kwa kuwaomba waliokaribu na Uhuru wamwambie aache kutumia hashishi.
Kenyatta ni Mwanadiplomasia na Democratic aliyeiva
 
umetumwa? na pete mbilimbili mikono yote inaashiria nini? wananchi wa tanzania watachagua rais umetmwa uwapendekezee? vyama vyao vitawaleta tuwapigie kura sasa wakati huo twambie jambo lako sasa ni hapa kazi tu
 

Rais wa wapi? JamiiForum au?
 
Ridhiwani ni kundi moja la Bashite na January Makamba hawafai kwa ndimu wala kwa chumvi
 
Badala ya kujadili kuandikwa kwa katiba mpya yenye maslahi mapana kwa watanzania, nyie bado mnafikiri kugawana vyeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…