pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Mleta uzi sehemu salama uliyotakiwa kuwepo ni Mirembe tu, tena 'chini ya uangalizi' wa Dr bingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tutajikuta yunaongozwa hadi na 'waporaji' wa mali za watu mchana kweupe.Ni bora hata ungesema Paul Makonda kidogo inaingia akilini kwa sababu uchapakazi wake ulikuwa unaonekana kuliko kumpendekeza huyo mla bata aje kuwa Rais.
Ili akawateke wagombea wa vyama vingine siyo ?
Wanabodi,
Miaka mitano ya Rais John Pombe Magufuli si mingi. Itaisha muda si mrefu.
Ninajua 2015 vijana wengi wa CCM walijitokeza kuutaka Urais wakiwemo January Makamba, Mwigulu Nchemba hata Hamisi Kigwangala lakini wote waliangukia pua baada ya kuachwa kwenye mchujo.
Kwa mwaka 2025 kwa mtazamo na maoni yangu twende na kijana Ridhiwan Kikwete. Kijana huyu ni mnyenyekevu, hodari, mchapakazi, msomi, muumini wa haki za binadamu na haiba ya kiuongozi.
Riz amezaliwa na kukulia familia ya utawala na hivyo kuwa na uzoefu na si wa kuokota dodo chini ya mwembe. Anatufaa maana hana tamaa ya madaraka.
#RK2025
Pointi KONKI sana kiongozi.HII NCHI MTU YOYOTE ANAWEZA KUIONGOZA HATA PIERE LIQUID.
KAMA HUYU KILAZA AMEWEZA KUKAA IKULU BASI MTU YOYOTE ANAWEZA KUONGOZA.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Baada ya hapo afuate Jesca Magufuli.
Huyu anaye kampeni huku ana ticket mkononi?Anatufaa Tundu Lissu
Unachovuta au kunywa nakushauri achana nacho kabisa.