FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #141
Njia rahisi na ya uhakika ni kurandomize hizi number, maana sio kwamba watu hawana elimu, wanajua kabisa, ila tu ike namba A inaleta picha kwamba gari ni mbovu, however you take it, hakuna mtu anaependa kuwa na gari yenye namba A, yupo radhi awe na mkweche ila wenye namba E, hivyo iki kutoanajira kwa car restoration facilities na watu wanunue gari zilizofanyiwa restoration nchini, inabidi namba ziwe randomized, hakuna sababu ya kupeleka pesa na ajira Japan kununua used / restored cars za Japan wakati uwezo wa kufanya restoration tunao wenyewe.., Japan labda iwe kununua gari mpya toka kiwandani tuAkunaga kitu kipya wala kizee ata iyo namba E ipo sku itakua nzee sa km ni unyonge ni kununua gar jipya kla namba mpya ikitoka iyo itakusaidia kuondoa unyonge,
Ila suala la kuuza gar nazan nyie wauza magar ndo muanze kutoa ushauri na elimu ya kutosha kwa wateja wenu wajue usajir sio ubora wala upya wa gar bali upya na ubora wa gar ni Engine,gear box nk