Napendekeza mfumo wa ‘Randomizer’ kwenye usajili wa ‘plate number’ za magari nchini

Njia rahisi na ya uhakika ni kurandomize hizi number, maana sio kwamba watu hawana elimu, wanajua kabisa, ila tu ike namba A inaleta picha kwamba gari ni mbovu, however you take it, hakuna mtu anaependa kuwa na gari yenye namba A, yupo radhi awe na mkweche ila wenye namba E, hivyo iki kutoanajira kwa car restoration facilities na watu wanunue gari zilizofanyiwa restoration nchini, inabidi namba ziwe randomized, hakuna sababu ya kupeleka pesa na ajira Japan kununua used / restored cars za Japan wakati uwezo wa kufanya restoration tunao wenyewe.., Japan labda iwe kununua gari mpya toka kiwandani tu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…