Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
imepita hiyoooo bila kupingwaNapendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo
Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa
Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru
Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu
Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa
Niwatakie mchana mwema
UNA AKILI TIMAMU KWELI WEWE CHAWANapendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo
Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa
Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru
Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu
Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa
Niwatakie mchana mwema
Na ndege yenyewe tukaitelekeza Malysia mwaka wa 3 sasa
Inatusaidia nini? Ajira, afya,elimu Bora?Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa
Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru
Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu
Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa
Watanzania wote Wazalendo tuungane kwa pamoja kuunga mkono hoja hii muhimu.
Wabunge wetu pia msituangushe mtuunge mkono kuhakikisha kuwa jemedari wetu anaenziwa
Niwatakie mchana mwema
Jenerali yupi Mkuu? Au ni huyo mrundi?Inatusaidia nini? Ajira, afya,elimu Bora?
Nimesoma makala ya, Jenerali ulimwengu, katika gazeti LA East African, anasema "political sycophants(uchawa), ulikuwepo hata kipindi cha Nyerere, walikuwepo waliojupendekeza, wakamuita Nyerere, mtukufu, na misemo Yao, zidumu fikra sahihi za mwenyekiti,kipindi hicho machawa, walipopitiliza, mpaka Nyerere mwenyewe,ikabidi awaonye kidogo, wanapitiliza mno,
Sasa huu uchawa wa Leo wa vijana, unatisha, kila mtu anasifia, ili mradi asikike, apewe ka uteuzi
Najaribu kuwaza Anapokuwepo Rais mwanaume, hawa vijana, kwa, Hari mbaya za uchumi walizonazo, hawapo taysri kweli kumpa...........!? Dar ni mawazo tu
Mwanza ibadilishwe iwe mkoa wa SAMIAWadau hamjamboni nyote?