Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wadau hamjamboni nyote?

Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.

Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa

Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru

Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu

Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa

Watanzania wote Wazalendo tuungane kwa pamoja kuunga mkono hoja hii muhimu.

Wabunge wetu pia msituangushe mtuunge mkono kuhakikisha kuwa jemedari wetu anaenziwa

Niwatakie mchana mwema
Lucas mwashamba na id yako mpya, we know wewe ni chawa experienced. Please shutup , nhci ina mambo mengi ya kufanya
 
Back
Top Bottom