Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo ni lugha za kisiasa zilizojaa uchawa! Ilivyo maendeleo yanaletwa na Wananchi wenyewe siyo rais! Wananchi ndiyo walipa kodi ya kuendesha serikali inayoongozwa na kusimamiwa na Rais aliyeajiriwa na wananchi.
Kwa hiyo badala ya kutafuta kazi kwa njia ya uchawa tufanye kazi ili tuendelee.
Mimi sitafuti kazi ila nimetoa maoni yangu na Haki yangu kidemokrasia
 
Ili kumuenzj kisawasawa badili jina lako na la ukoo mzima wajiite jina lake Kwanza.
Aise njaa mbaya
 
Wadau hamjamboni nyote?

Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.

Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa

Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru

Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu

Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa

Watanzania wote Wazalendo tuungane kwa pamoja kuunga mkono hoja hii muhimu.

Wabunge wetu pia msituangushe mtuunge mkono kuhakikisha kuwa jemedari wetu anaenziwa

Niwatakie mchana mwema
Picha yake kwenye sarafu inatosha,Hilo pendekezo.lako ni ujinga
 
ukichunguza asilimia kubwa ya waliochanja chanjo za kovidi ndio wanauchawa uliopitiliza kuna namna ile chanjo inaharibu akili za watu
 
Wadau hamjamboni nyote?

Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.

Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa

Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru

Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu

Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa

Watanzania wote Wazalendo tuungane kwa pamoja kuunga mkono hoja hii muhimu.

Wabunge wetu pia msituangushe mtuunge mkono kuhakikisha kuwa jemedari wetu anaenziwa

Niwatakie mchana mwema
Wew ndo yule mwenye kifua kipana mkwe wa mama uliyepewa tamisemi
Unasifia mpa unapitilia

Huu upumbavu wako peleka kizimkazi
 
Maendeleo gani unayotaongelea kama bado tunauziwa Data kwa mafungu?
 
Back
Top Bottom