Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mungu aendelee kutupa uzima,tutaona na kusikia mengi!.
Mambo mhimu yanafanyiwa mzaha,na Mambo ya hovyo yanapewa umuhimu.
 
Kwani kafanya nini, ni Africa pekee yake tunza huu uzandiki, yaani watu wana maisha magumi unasherehekea nini
Kamtoa mama ndio kichwani, katoa Gesi ya kupikia kwa Akina mama , na kusalimisha kukatwa Kwa miti, kamaliza tatizo la mgao wa umeme.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.

Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa

Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru

Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu

Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa

Watanzania wote Wazalendo tuungane kwa pamoja kuunga mkono hoja hii muhimu.

Wabunge wetu pia msituangushe mtuunge mkono kuhakikisha kuwa jemedari wetu anaenziwa

Niwatakie mchana mwema
Pendekezo la kijinga hili, angalia toka aingie madarakani kuna maendeleo gani hapa nchini?
 
Mkoa wa katavi ama songwe mmoja wapo TUBADILISHE

Naomba kuwasilisha
Kubadilisha jina la mkoa sio Jambo la kitoto. Ni process ndefu Sana. Mmesahau Mbeya walipokataa uwanja wa ndege wa Songwe usiitwe kwa Jina la Kikwete?.
 
Na mkoa wa Nyerere, Mkoa wa Mwinyi, Mkoa wa Mkapa, Mkoa wa Jakaya, Mkoa wa Magufuri.

Mkoa wa Kolimba, Mkoa wa Malecele, Mkoa wa Dr Omar, Mkoa wa Kawawa, Mkoa wa Musuguri.

Hao watu wameifanyia nchi kazi nzuri sana, NI vyema tukaipa mikoa kadhaa majina yao.
Majina yao kwenye shule za kata yanatosha.
 
Inatusaidia nini? Ajira, afya,elimu Bora?
Nimesoma makala ya, Jenerali ulimwengu, katika gazeti LA East African, anasema "political sycophants(uchawa), ulikuwepo hata kipindi cha Nyerere, walikuwepo waliojupendekeza, wakamuita Nyerere, mtukufu, na misemo Yao, zidumu fikra sahihi za mwenyekiti,kipindi hicho machawa, walipopitiliza, mpaka Nyerere mwenyewe,ikabidi awaonye kidogo, wanapitiliza mno,
Sasa huu uchawa wa Leo wa vijana, unatisha, kila mtu anasifia, ili mradi asikike, apewe ka uteuzi
Najaribu kuwaza Anapokuwepo Rais mwanaume, hawa vijana, kwa, Hari mbaya za uchumi walizonazo, hawapo taysri kweli kumpa...........!? Dar ni mawazo tu
Mkui naweza kuipata hiyo makala,
 
Kweli kabisa. Ukiachana na huyu kuna wengine pamoja na umaskini wao eti wanamchnagia kununua gari mtu anayejiita Wakili Maarufu, Makamu Mwenyekiti wa chama na mtu anayejivunia kuwa familia yake inaishi Ulaya na watoto wake ni raia wa Marekani! Just imagine hawa vijana wanaoongozwa na Erythrocyte humu JF, zinawatosha kweli?
Unataka kulinganisha mchango wa hiari na kuanzisha mkoa wa Samia be serious basi. Mbona mambo mawili tofauti kabisa.
 
Mungu akutunze akupe maisha marefu siku moja wajukuu zako waje waone viwango vya bau yao vya uchawa na upumbavu
 
Wadau hamjamboni nyote?

Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.

Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa

Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru

Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu

Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa

Watanzania wote Wazalendo tuungane kwa pamoja kuunga mkono hoja hii muhimu.

Wabunge wetu pia msituangushe mtuunge mkono kuhakikisha kuwa jemedari wetu anaenziwa

Niwatakie mchana mwema
Screenshot_2024-04-30-08-21-58-928_com.android.chrome~2.jpg
 
Inatusaidia nini? Ajira, afya,elimu Bora?
Nimesoma makala ya, Jenerali ulimwengu, katika gazeti LA East African, anasema "political sycophants(uchawa), ulikuwepo hata kipindi cha Nyerere, walikuwepo waliojupendekeza, wakamuita Nyerere, mtukufu, na misemo Yao, zidumu fikra sahihi za mwenyekiti,kipindi hicho machawa, walipopitiliza, mpaka Nyerere mwenyewe,ikabidi awaonye kidogo, wanapitiliza mno,
Sasa huu uchawa wa Leo wa vijana, unatisha, kila mtu anasifia, ili mradi asikike, apewe ka uteuzi
Najaribu kuwaza Anapokuwepo Rais mwanaume, hawa vijana, kwa, Hari mbaya za uchumi walizonazo, hawapo taysri kweli kumpa...........!? Dar ni mawazo tu
Kuna Rais mmoja wa Zimbabwe alikua anaitwa Banana huyo angekua hapa matacle ya machawa yangewaka moto ,
Mzee alikua mshenzi huyo balaa
 
Back
Top Bottom