Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sanaUNA AKILI TIMAMU KWELI WEWE CHAWA
Yani niliposoma heading to ya hii thread...Tusi kubwa sana lilinijia akilini.Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa
Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru
Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu
Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa
Watanzania wote Wazalendo tuungane kwa pamoja kuunga mkono hoja hii muhimu.
Wabunge wetu pia msituangushe mtuunge mkono kuhakikisha kuwa jemedari wetu anaenziwa
Niwatakie mchana mwema
Huu ni ujingaWadau hamjamboni nyote?

🤣🤣Lucas
Mkuu si anajenga viwanja vya mpira, kimojawapo kipewe jina lake.Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa
Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa tanzania tokea nchi yetu update uhuru
Ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki na kati kuongoza nchi akiwa Amiri Jeshi Mkuu
Naam Mkoa wa Samia ni muhimu uwepo Ili kumuenzi Kiongozi wetu mpendwa
Watanzania wote Wazalendo tuungane kwa pamoja kuunga mkono hoja hii muhimu.
Wabunge wetu pia msituangushe mtuunge mkono kuhakikisha kuwa jemedari wetu anaenziwa
Niwatakie mchana mwema
Nimecheka sana muda si mrefu nimetoka kusoma uzi wako wa barabara mbovu Tz.Kitunda( Tabora) - Rungwa - Kambi Katoto - Lupa tingatinga - Makongorosi ( Chunya).
Huo mkoa ujengwe katikati ya maeneo haya.
Naunga mkono hojaKwanini apewe mkoa wake ,
Anapotimiza majukumu yake ?
Naomba ufute hiyo I'd unaikosea uandike chawa wa mama
Ndiyo ule unyani au Apedomia aliosema Mch. MtikilaWatanganyika tumekuwa kama mandondocha wallah.
Na bado tu unasoma walichoandika wa mirembe?!Siku wahi kujua kama mirembe siku hizi vichaa mnaruhusiwa kutumia simu
Nyumbani kwetu ni TanzaniaHuo mkoa wenu kaanzishieni huko nyumbani kwenu
Unaishi nchi gani hasa?!Hivi wanavyosema mama kafanya makubwa ni yepi mbona hawayataji? Au mimi ndo zuzu
Hoja iliyopo mezani imeletwa kujadiliwa na hakuna ulazima kuiunga mkonoMkoa wako unaotokea upe hilo jina na umuenzi . Hatujaumbwa tufanane ila twishi pamoja so twaheshm nawazo yako ila timiza mwenyewe unachokitetea kwa faida yako na walioko nyuma yako. Sio lazma kwetu kukuunga hoja yako bye bye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa hakuna Mkoa wa SamiaMkoa wa Samia si Kizimkazi tayari, au?